Weka picha..
Huko ndani ya milima mwalimu alinifundisha kuna mentle na core na huwa kuna joto sana. Sasa huyo joka anaishije huko? makubwa!kweli,hata me nilisikia kwa kuhadithiwa...na anaitwa Nondo...na kwa mujibu nilivyoambiwa ye huwa anaishi chini yaani ndani ya milima/vichuguu na akimove ndo hisababisha earthquake ktk maeneo hayo!..ila hili la utajiri nalickia kwako!!
Hahahaaaa....huko chini ya milima kichwa chake kinadriller?
Huyo jina lake atakua anaitwa anashiba na Siyo anakonda
nkienda ntajitahidi kurudi na yai lake ambalo hulilinda mda wote coz naskia ni deal kwlkwl!
Mie ninalo hilo joka nimelifuga home kwangu,so natenga siku maalumu ili nilipopowe mpaka life kisha nianze kuuza magamba yake,tayari kuna wazito wa nje na ndani ya nchi wameshanipa oda na kila anaye place order to me lazima alipie form ambayo ni tsh 11,371 tuu.
Nipe PM ntakuwekea namba yangu unirushie.
Ama kweli Masikini haishiwi NJOZI.......................!!!!!!!!!!!
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini ya milima mikubwa.Wanasema watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita ili kupata kipande cha gamba lake ambacho kinahusishwa na kupata utajiri. Naomba mwenye utaalamu au uelewa kuhusu hili joka atujuze tuweze kujua kuhusu hili joka
mmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh???????Eeeh lipo hilo joka mi mwenyewe nshaliona nlikua nalitegea kisu huko chini ya milima ili niwe tajiri lakini nlipoliona ilibidi nifunguke mbio usipime huwezi amini niliupiga mlima kumbo hadi leo pamebaki wazi pale nilipopita