rekebisha basi "much no" much know haya endelea na hadithi yako..Ngoja nikavute bangi kwanza..
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini ya milima mikubwa.Wanasema watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita ili kupata kipande cha gamba lake ambacho kinahusishwa na kupata utajiri. Naomba mwenye utaalamu au uelewa kuhusu hili joka atujuze tuweze kujua kuhusu hili joka

Honestly, mie nakushauri kuchapa kazi kwa bidii tu mzee badala ya kutaka kutafuta utajiri kwa ndoto za Alinacha!
rekebisha basi "much no" much know haya endelea na hadithi yako
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini ya milima mikubwa.Wanasema watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita ili kupata kipande cha gamba lake ambacho kinahusishwa na kupata utajiri. Naomba mwenye utaalamu au uelewa kuhusu hili joka atujuze tuweze kujua kuhusu hili joka
Unajua mfumo mzima wa Dunia kuzunguka jua, kupatwa kwa mwezi na jua, matetemeko, ile tumeambiwa Continental Drifts, mambo ya volcano na mengine ya sisi kuwa juu ya dunia inayozunguka wakati sisi tumetulia wana sayansi hawayaelezei haya mambo kwa ufafanuzi yakinifu, wanabaki kutuambia ni "Nature", baada ya kutoelezea vizuri ndio wengine wanakuja na mawazo yao ya nini chanzo, hapa zinaibuka hizo myth za majoka, ambazo ukireason kama layman unaona zina logic kupita maelezo ya wana sayansi.
Mfano, nikiwa mdogo niliambiwa mvua inatokana na mvuke, kwamba jua linapowaka linayeyusha maji ya chini yanapanda juu na kuganda, yanapoyeyuka ndo mvua inanyesha; katika kuvalidatate hii statement nikaambiwa eti ndio maana jua likiwaka sana watu wanasema leo mvua itanyesha na inanyesha; nikauliza mbona kiangazi mvua hainyeshi wakati ndio jua linawaka sana? Nikaambiwa mavingi ni makavu.
Siku moja akatokea mtu akatuambia kule Mbinguni (angani) Mungu ana mapipa mengi sana amejaza maji, sasa akitaka mvua inyeshe anaangusha mapipa yale upande unaohusika na mvua inanyesha, akasema zile radi tunazozisikia ni mgongano wa hayo mapipa yanapokuwa yanagalagala. Na pia jamaa akasema ndio maana mvua inaweza kunyesha hapa kwetu lakini kwingine isinyeshe, ni kwa sababu mapipa yameangukia upande wetu. Sasa kama hapa utamwelewa nani?