Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini ya milima mikubwa.Wanasema watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita ili kupata kipande cha gamba lake ambacho kinahusishwa na kupata utajiri. Naomba mwenye utaalamu au uelewa kuhusu hili joka atujuze tuweze kujua kuhusu hili joka
Watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita
Ni story lakini hayo mambo haya yapo mkuu , usiignore moja kwa moja , mimi nimezungmza na mt ambaye alisha fanya jaribio la kutega ingawa hakufanikiwa ila wenzake walifanikiwa.Na ni utajiri unaokuwa controlled na Lucifer moja kwa moja mkuu,Stori za vijiweni.
Tega nawewe kisu upate gamba lake uukwae utajiri..