John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kwa kutangaza amejiunga chama kingine kwa hiyo kajivua Ubunge tayari? Vizuri sana.


Sent from my iPad using JamiiForums

Anavyoiendekeza njaa huyu jamaa hawezi kuhama chama midahii,
 
Sasa kama Ubunge ameuacha atarudi kwa tiketi ipi?? Ya Chadema au ya mahakama au ya uteule wa Rais ?????????????????????
 
ImageUploadedByJamiiForums1407765017.678265.jpg
Teh teh teh teh Saccoss ileeeeee....Dj na Padri mzinzi mnaua taasisi yenu hiyo!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Viongozi wa CHADEMA sikilizeni kero za wanachama wenu, kwanini kila mtu anayeondoka CHADEMA sababu ni zile zile? Fanyieni kazi haya mapungufu ili kuokoa chama chenu!
 
Viongozi wa CHADEMA sikilizeni kero za wanachama wenu, kwanini kila mtu anayeondoka CHADEMA sababu ni zile zile? Fanyieni kazi haya mapungufu ili kuokoa chama chenu!

Hatuhitaji ushauri wa msalani. Shauri chama chako waache kudharau walio waweka madarakani.
 
Tulikwisha sema humu jf kuwa chama ni wanachama. Tabia ya fukuza fukuza haitakisaidia CHADEMA itakiangamiza. Tukaendelea kuwasihi viongozi wa CHADEMA kuwa hakuna hata mmoja kati yao aliye msafi mthili ya theruji, wote wamepungukiwa na utukufu. Tusikilizane, tuvumiliane, tuonyane tusameheane kwa upendo kama wamoja. Tukiwa wamoja adui yetu CCM atatuogopa. Kwa bahati mbaya mwenye akili hujifunza kwa kosa la wengine, mjinga hujfunza kwa kosa lake mwenyewe, lakini mpunbavu hanalo la kujifunza hata yakimkuta.
Sijui viongozi wa chadema watakuwa wapo kundi lipi. Ikiwa kila mtu ataitwa msaliti halahala wasije wakabaki Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Mnadhimu na Msemaji wa chama. Hapo sasa hawa ndiyo watakuwa wasaliti wakubwa wa CHADEMA kwa kukisambalatsha.
 
Viongozi wa CHADEMA sikilizeni kero za wanachama wenu, kwanini kila mtu anayeondoka CHADEMA sababu ni zile zile? Fanyieni kazi haya mapungufu ili kuokoa chama chenu!

Sababu ni zile zile kwa kuwa wote ni wasaliti wenye nia moja ya kutaka kuiangamiza CHADEMA.
 
CHADEMA maskini hiki Chama kimezama kaburini Rasmi.

Kwenye ile thread inayomuhusu mzee Arifu umecomment kuwa huyu mzee Arifu ananyanyasika na Chadema kwahajiri ya dini yake ya kiislaam. Sasa je na huyu Shibuda ananyanyaswa na Chadema kutokana na nini?
 
CDM wanapoteza majimbo hata kabla ya uchaguzi mkuu!
Hapo bado akina Mwakalebela hajachukua jimbo la Msigwa, kule Wenje akirudi bungeni ni maajabu, sasa Arfi, Zitto, Shibuda etc!
Huu kweli ni mwisho wa CDM! RIP!
 
nachompendea huyu mzee si mnafiki. safari njema huko uendako
 
Hongera sana John Shibuda kwa uamuzi wako makini wa kujitambua, waache na chama chao.

Naye huyu anaonewa kutokana na dini yake ya kiislaam kama ulivyocomment kwenye ile thread inayomuhusu mzee Arifu?
 
hili zee bana ...njaa tu zinamrudisha bungeni eti anaenda kutetea wakulima wa pamba..sasa kajivua ubunge anaenda bungeni kama nani?
 
Wasaliti Wanaanza Kujiondoa Mdogomdogo. Leo Mbunge Wa Maswa John Shibuda Kuondoka CHADEMA. Source Magazeti Ya Lumumba.
Nyie wepesi wa kutoona strategies, jimbo ndo mmelikosa hilo, one jimbo less to CHADEMA hata kabls ya uchaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom