John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Akafie mbele alikua mzigo wa msumari kichwani
 
Tangu lini akawa kamanda wa cdm.anajulikana toka mwano.shity aondoke.
 
Alisign akaomba ruhusa kuwa anaenda jimboni kwenye mazishi kwa hivyo anahesabika anashiriki bunge tangu alivyosign. Sasa amemaliza msiba anarudi bungeni kusaka tonge ujira wa mwiha
 
Hili la Shibuda Kibudu kujivua Uanachama imekaa safi sana hii, moshi mweupe wasaliti wanaondoka bado mmoja mm aliyesema ataondoka wa mwisho na atakayemgusa ataua hata panya wake.
 
KAMANDA SHIBUDA amesema amechoshwa na kuburutwa ndani ya chadema ameibwaga chini na kuhamia kwenye chama cha ukombozi.
ALUTA CONTINUA VIVA ACT.
=====================

Chanzo: Majira

Anaacha Chadema ama anaacha UBUNGE? mana yupo bungeni kupitia ticket ya Chadema sasa kama anaacha Chadema lakini wiki ijayo anaenda kwenye kamati za bunge itakuwa anachumia tumbo. aache kote kote ndio tutamkubali
 
Kalibu home kaka huko ulikosea njia hicho chama ni cha wahuni Ngosha wa mbasa.
 
Gamba hilo

Naamini kati yake na mwandishi wa habari hizi kuna aliejichanganya. Alichotaka Shibuda kieleweke ni kuwa uchaguzi ujao hatagombea kwa tiketi ya chadema na sio kuwa kajiuzulu ubunge na kujitoa kwenye chama. Anazielewa sheria na taratibu za vyama kuwa unapotangaza kuachia ngazi ina maana ni pomoja na nafasi zote za kisiasa ulizo nazo kwa tiketi ya chama. Shibuda auachie ubunge na posho za vikao huku akielewa bunge la sasa litamaliza muda wake mwakani muda mfupi kabla ya kampeni uchaguzi mkuu. Akihudhuria vikao vya bunge maalumu linaloendelea hivi sasa ataingia kwa tiketi ya chadema. Akimwandikia katibu wa chadema taifa barua ya kujitoa kwenye chama na kamati kuu ikiridhia na ubunge wake unakoma hapo hapo.Atabakiza kumwandikia m/kiti wa halimashauri yake na hataruhusiwa kuingia kwenye vikao vya wilaya kwa tiketi ya chadema. Jee huo ubavu anao kwa sasa? Au alisahau kuwa hapo hakuna kwenda mahakamani ili uzidi kuendelea na ubunge wa mahakama?
 
Amehama lini ? Au ni porojo zako kama kawa .....hawezi Acha posho yule ujira wa Mwiha ..........
Ujira wa Mwiha aache posho kweli ?
Ujira wa Mwiha amwachie nani ? Anatafuta kujhami na rungu la CC ya Chadema ........
Toilet paper haiwezi kuwa source ya habari, Kamwe Shibuda hawezi kusamehe posho na mshahara wa ubunge wa muda uliobaki.
Kwahiyo sio mbunge tena kupitia chadema? ila source yenyewe ipo mlengo ule tatizo.

Khaa!! Wati wengine bana ama hawajui kusoma kwa umakini au wanalipwa kwa kupost nyuzi hapa. Mtu kasema wazi hatogombea tena ubunge kupitia chadema lakini bado hamuelewi. Walimu wenu walipata taabu sana 😛eep:
 
tena ondoke atuachie wenye misimamo yetu mambo yakike hatuyataki huku amechelewa sn maamuz yake
 
Khaa!! Wati wengine bana ama hawajui kusoma kwa umakini au wanalipwa kwa kupost nyuzi hapa. Mtu kasema wazi hatogombea tena ubunge kupitia chadema lakini bado hamuelewi. Walimu wenu walipata taabu sana 😛eep:

Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti.
 
Shibuda kule kwao akipita mitaa za anga za wana chadama anachalazwa viboko ana jina kamili msaliti , hana adabu period
 
Naamini kati yake na mwandishi wa habari hizi kuna aliejichanganya. Alichotaka Shibuda kieleweke ni kuwa uchaguzi ujao hatagombea kwa tiketi ya chadema na sio kuwa kajiuzulu ubunge na kujitoa kwenye chama. Anazielewa sheria na taratibu za vyama kuwa unapotangaza kuachia ngazi ina maana ni pomoja na nafasi zote za kisiasa ulizo nazo kwa tiketi ya chama. Shibuda auachie ubunge na posho za vikao huku akielewa bunge la sasa litamaliza muda wake mwakani muda mfupi kabla ya kampeni uchaguzi mkuu. Akihudhuria vikao vya bunge maalumu linaloendelea hivi sasa ataingia kwa tiketi ya chadema. Akimwandikia katibu wa chadema taifa barua ya kujitoa kwenye chama na kamati kuu ikiridhia na ubunge wake unakoma hapo hapo.Atabakiza kumwandikia m/kiti wa halimashauri yake na hataruhusiwa kuingia kwenye vikao vya wilaya kwa tiketi ya chadema. Jee huo ubavu anao kwa sasa? Au alisahau kuwa hapo hakuna kwenda mahakamani ili uzidi kuendelea na ubunge wa mahakama?
Khaa!! Mbona inaeleweka vizuri tu. Tatizo hapa ni ulevi wakukurupuka tu :cool2:
"Tangu nimejiunga na chama hiki, kila siku natukanwa hata na watoto wadogo ndani ya chama hiki...sasa nimechoka na siwezi kuvumilia hali hii, nimekuwa mvumilivu kwa muda mrefu hivyo natangaza kuwa, sitagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA kwani chama hiki si baba wala mama yangu," alisema.
 
hongera sana shibuda achana na chama cha wabaguzi na wababe,wanusuru wananchi wako bana maana hujatumwa na chama umetumwa na wananchi.
 
KAMANDA SHIBUDA amesema amechoshwa na kuburutwa ndani ya chadema ameibwaga chini na kuhamia kwenye chama cha ukombozi.
ALUTA CONTINUA VIVA ACT.
=====================

Chanzo: Majira

Wewe ikija sensa ya wanachama wa vyama vya siasa utahesabiwa wapi?ccm au act?
 
Sasa LISSU atajuta kumfahamu Shibuda ngoja wakutane.
Naona Godbless J Lema yuko kimya inaelekea anaujua mziki wa Shibuda.

Chadema wana wachukia sana watu wasiopenda kuburuzwa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu bora kajitoa mwenyewe mapema.. nadhani alishasoma alama za nyakati angesubiri 2015 angeaibika
 
Simiyu yetu yuko wapi? Bunge limemkip busy na laki tatu!
 
Lini Shibuda aliwahi kuwa chadema aliacha ajikaange kwa mafuta yake asee kupuuzwa kubaya jamaa limebaki zobo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom