John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hii habari ni ya tarehe 11/8/2014,Ajabu mpaka leo yupo tu! Ndiyo utajua SHIBUDA CHIZI.:juggle:
 
wengi wetu tunalijua hili kuwa shibuda Hakubaliki tena na CHADEMA kutokana na Tabia yake ya unafki tamaa usariti nk. Nayeye mwenyewe tayari analijua hili ila njaaa inamfanya kuendelea kubaki CDM. kwani akiondoka sasa posho na mshahara wa bunge vitakoma
 
Haweziondoka. Tumbo atamwachia nani? Chakufanya nikumtimua kama Zitto.

Nayule wa Mpanda anatakiwa apewe za chembe. Outii, tuone msosi atapata wapi. Traitors wakubwa.
 
Mimi nawashukuru sana viongozi wa cdm kwa uungwana wao , pamoja na kwamba walimuokota shibuda jalalani baada ya kudhulumiwa kura za maoni na kisena lakini jeuri aliyoonyesha shibuda haivumiliki , ikumbukwe pia kwamba cdm ndio ilimuokoa kunyongwa baada ya kubwagiwa kesi ya mauaji .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom