Haya hayajengi ndugu. Jitafakari Sana.Hasa Ufipa wamejazana kamati za roho mbaya!
Kuna siku fahamu zitarudi na utajua maana ya upinzani.Ufipa hadi inafika 2025 watakuwa wanatafutana kwa tochi
MATAGA kwasababu mjomba wenu yuko Nairobi mkaona na nyie mtafute kulipa kisasi, kama hayuko Nairobi mtoeni mliko mficha tumuone.Hasa Ufipa wamejazana kamati za roho mbaya!
Subiri maiti kutoka Nairobi, hakuna mtu mle tena.MATAGA kwasababu mjomba wenu yuko Nairobi mkaona na nyie mtafute kulipa kisasi, kama hayuko Nairobi mtoeni mliko mficha tumuone.
Ni vyema. Na wengine wanaozushiwa wajitokeze ili wazushi waumbuliwe.Baada ya watu duni wanaolipwa kusambaza taarifa za uongo za kifo cha Mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema Mh John Mrema , Yeye Mwenyewe amejitokeza hadharani na kuthibitisha kwamba yuko hai na wala hana hata kikohozi wala mafua ya vumbi .
View attachment 1721903
kama vile alivyomsukuma MPANGO akajitokeza na drip zakeNa mzee baba himself ajitokeze.