figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,653
- 59,077
"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu)
wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya Chadema.
Hoja hii si ya kweli ni hoja ya kisingizio tu, suala la msingi ni kitu walichokiomba Mahakama, kuwa Mahakama itoe amri ya kuzuia shughuli zote za CHADEMA Nchi nzima mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa.
Kesi hiyo inakuja mahakamani tarehe 12 Mei 2025.
Nawaambia wanachadema wote, wapenda haki na demokrasia na wote wanaoiamini CHADEMA ndani ya nchi yetu, kama tulivyoungana pamoja kwenye kesi ya Tundu Antipace Lissu tuelekeze nguvu tarehe 12/05/2025 kwenye kesi hii". Amesema John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.