PreGE2025 John Mnyika: Salum Mwalimu na Wenzake wamefungua kesi dhidi ya CHADEMA wakidai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa Zanzibar waanzishe chama chao Cha siasa kwani lazima kuweka na chadema Zanzibar? Sheria inasemaje kuhusu vyama vya siasa je ni lazima wawe na wing Zanzibar? Kikubwa chadema kina wanachama Zanzibar hayo mambo mengine hayana nafasi
Sheria inataka chama kiwe na sura ya muungano. Otherwise wangeachwa tu
 
"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu)
wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya Chadema.

Hoja hii si ya kweli ni hoja ya kisingizio tu, suala la msingi ni kitu walichokiomba Mahakama, kuwa Mahakama itoe amri ya kuzuia shughuli zote za CHADEMA Nchi nzima mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa.

Kesi hiyo inakuja mahakamani tarehe 12 Mei 2025.

Nawaambia wanachadema wote, wapenda haki na demokrasia na wote wanaoiamini CHADEMA ndani ya nchi yetu, kama tulivyoungana pamoja kwenye kesi ya Tundu Antipace Lissu tuelekeze nguvu tarehe 12/05/2025 kwenye kesi hii". Amesema John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.
View attachment 3330626
Mahakama haiwezi kuzuia shughuli ambazo zipo kikatiba. Na miongoni mwa wafungua kesi siyo tena mwanachama wa Chadema. Labda waanze upya.
 
Hahaha CCM wameanza kuzirudia script, waliiua CUF kwa style hii na hata NCCR ile ya Mrema kwa style hii hii.

Yule Hama wa ADC alifanya hayo aksaidiwa na ccm na msajiri akaanzishiwa chama kuipinga CUF kama walivyofanya kwa Zito na ACT lakini wakashindwa.

Lipumba akatangaza kujitoa CUF mwenyeww kwenye press.

Lakini CCM walipoona hafanyi kazi Wakamrejesha CUF kwa nguvu,

Maalim akahamia ACT ikawa byebye.

Naona wanaanza kuirudia script, huyu Mwalimu na wenzake wameshatangaza kujitoa CHADEMA wanapataje nguvu kuishitaki chadema?

Hawa watarejeshwa ndani ya chadema kwa nguvu wakaiue kama ilivyofanywa CUF.

Kwa NCCR yenyewe waligawa kukuwa na NCCR ya Mrema na ile ya kina Mabere Marando na Lamwai,
Ya Mrema wakafunguliwa account kariakoo wakawa wanapewa ruzuku ile ya kina Marando na Lamwai wakanyimwa mpaka ikafa.

Haya ni maigizo ya kaole husimamiwa na ccm moja kwa mona.
 
Sasa Zanzibar waanzishe chama chao Cha siasa kwani lazima kuweka na chadema Zanzibar? Sheria inasemaje kuhusu vyama vya siasa je ni lazima wawe na wing Zanzibar? Kikubwa chadema kina wanachama Zanzibar hayo mambo mengine hayana nafasi
Nadhani kanuni zinataka ili Chama kiweze kusajiliwa kinahitaji uwakilishi pande zote za Muungano. Ikidhibitika kweli Zanzibar Haina uwakilishi ndani ya Chadema basi kinapelekwa 'kibra'!
 
Nadhani CDM ya Lissu ipo vizuri sana!
Maana jitihada hizi si mchezo!
Huyo mama si anapendwa kama mnavyomuaminisha....sasa mbona hivi...
Kweli huyu mama hana nyota ya kupendwa...
Jakaya ataendelea kuwa Rais mwenye Nyota ya kali sana ya kupendwa...
 
"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu)
wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya Chadema.

Hoja hii si ya kweli ni hoja ya kisingizio tu, suala la msingi ni kitu walichokiomba Mahakama, kuwa Mahakama itoe amri ya kuzuia shughuli zote za CHADEMA Nchi nzima mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa.

Kesi hiyo inakuja mahakamani tarehe 12 Mei 2025.

Nawaambia wanachadema wote, wapenda haki na demokrasia na wote wanaoiamini CHADEMA ndani ya nchi yetu, kama tulivyoungana pamoja kwenye kesi ya Tundu Antipace Lissu tuelekeze nguvu tarehe 12/05/2025 kwenye kesi hii". Amesema John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.
View attachment 3330626
Hivi Zanzibar inazingatia maslahi ya Tanganyika? Au wanataka kuanzisha Uzanzibari na utanganyika bila kujijua au kwa kukusudia?
Ni lini Rais wa Zanzibar alitoka Tanganyika, ni lini waziri, mkuu wa mkoa, wilaya huko Zanzibar alitoka Tanganyika? Lini hapo maslahi ya Tanganyika yako wapi ndani ya Zanzibar?
Lakini Mzanzibari anakuwa Rais wa Tanganyika,makamu wa Rais, mawaziri hadi wakuu wa wilaya.
Mnadhani tumelala! Hatujalala, ukimya wetu siyo ujinga.
 
"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu)
wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya Chadema.

Hoja hii si ya kweli ni hoja ya kisingizio tu, suala la msingi ni kitu walichokiomba Mahakama, kuwa Mahakama itoe amri ya kuzuia shughuli zote za CHADEMA Nchi nzima mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa.

Kesi hiyo inakuja mahakamani tarehe 12 Mei 2025.

Nawaambia wanachadema wote, wapenda haki na demokrasia na wote wanaoiamini CHADEMA ndani ya nchi yetu, kama tulivyoungana pamoja kwenye kesi ya Tundu Antipace Lissu tuelekeze nguvu tarehe 12/05/2025 kwenye kesi hii". Amesema John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.
View attachment 3330626
Acheni kelele nendeni mahakamani mkajibu hoja
 
Kafungua.kesi halafu kahama Chama.crazy
 
Back
Top Bottom