John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

Wakazi wazidi kumkataa Mnyika, pole sana.
 
Kama ahadi ya maji jimbo la ubungo alishindwa leo kibamba ndo ataweza? kamwe kura zetu hapati.

Mapunguani kazini maana yeye ndiye anayekusanya kodi na kutoa vipaumbele kweli kushabikia CCM lazima uwe punguani
 
Jamani kwanini tuitane mapunguwani kwa ajili ya mnyika? kwa nini tusisubili wakati wa kupiga kura ndo tujue punguwani ni yupi na asie punguwani ni yupi? naomba busara itumike.
 
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.
Maji ni shida jimbo la ubungo (now kibamba) kwasababu serikali ya ccm kupitia watendaji wa serikali za mitaa kwa kushirikiana na watendaji wa dawasco walikuwa wanafanya hujuma za makusudi kunyima maji wananchi. Kwangu linapita bomba la mradi wa kijiji lakini hawa jamaa wanaamua kulifunga lile bomba ili watu wasipate maji. Wanafungua sehemu chache wanazojua wao ili wenye maboza wajaze magari yao wakauze kisha wanagawana pesa. Huo mchezo mchafu tulishausitukia na ndio maana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita tuliamua kuwapiga chni ssm. Mnyika will be there to stay
 
Mnyika ni jembe safi sana...juhudi zake tunazijua sisi wakati wa kibamba...CCM ndio walifanyia ufisadi mradi wa kibamba.Mnyika hana kosa tunaona kila jitihada anazofanya. CCM mlie tu
 
Ina maana ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania haikuwahusu watu wa Ubungo?
You are right. Kwanini wao ccm wasitekeleze hiyo ahadi kisha waje kutuambia wananchi kuwa ni wao ndio wametekeleza ahadi hiyo na si mnyika?. Hapo tungejua kuwa walikuwa na nia njema na sisi. Lakini kilichoendelea kinaonekana wazi kilikuwa ni hujuma kwa mnyika kwa kuwa ni mbunge wa chama pinzani
 
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.

Labda nikusaidie kutangaza kwa watu ili wakuazime akili. Unaposema "Wakaazi wa Jimbo la Kibamba wametangaza rasmi kumng'oa Mnyika", swali ni Je, ni lini Mnyika aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Kibamba?
 
mkuu ukisema punguani inamaana wana akili ya kuvukia barabara tu?

Kabisa, hebu wa sikilizeni viongozi waandamizi kwenye mkutano wao wa jana, Magufuli anasema tumefika hapa sababu ya majizi na mafisadi ndani ya serikali na CCM, JK anajisifu kuwa ametufikisha hapa si mchezo maana katutoa mbali.

Which is which? anayemaliza muda anajisifia anayetaka kumrithi anaponda sasa kama viongozi namna hii unategemea nini kwa mashabiki wao? Upunguani tu
 
Makamanda, hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.

Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.
 
Wewe umekua NEC au Mnajimu? Kazi ya kumkataa au kumkubali mgombea yeyote itafanyika October 25, hapo ndio tutajua nani kapata na nani kapoteza jimbo.
 
Hivi Tanzania nzima kuna wabunge wangapi? Kila siku ni mnyika, Lema, Kubenea,
 
Back
Top Bottom