Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,333
- 13,787
come with facts, siyo unabwabwaja tuu, mnyika bado ni mbunge mtetezi, kwa hiyo anayo historia, Fenela ana strength gani.
huo ni ujinga wa siasa za maji ya chooni NULLBOOK
well said
come with facts, siyo unabwabwaja tuu, mnyika bado ni mbunge mtetezi, kwa hiyo anayo historia, Fenela ana strength gani.
huo ni ujinga wa siasa za maji ya chooni NULLBOOK
Ina maana ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania haikuwahusu watu wa Ubungo?
Mkuu njoo utetee upuuzi wako huku............
Jamani kwanini tuitane mapunguwani kwa ajili ya mnyika? kwa nini tusisubili wakati wa kupiga kura ndo tujue punguwani ni yupi na asie punguwani ni yupi? naomba busara itumike.
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Mnyika alipata ubungo kupitia wananchi wa ubungo ndio wengi walimpakura ila wananchi wa Mbezi walimnyima kura na alivyobugi amewakimbia wa ubungo kaenda Mbezi kibamba hakika kule watamnyoosha
Kale kaMchange kameshinda Kibaha?
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
na ndo wanapotea hivo. hamuwasikii tena baada ya uchaguz ujao. yaan ni shida. inasikitisha kuwakosa lakin ndo hivo hakuna namna nyingine. hatujui tu wataibukia wap baada ya kuukosa ubunge
pitia buku saba pale ,mnamhukumu mnyika na kuchochea hisia chafu kwa wapiga kura wa kibamba bila aibu ni hatari sana ,mchango wa mnyika unafahamika kitaifa na watanzania wengi linapokuja suala la kurudi bungeni huna maamuzi nalo kama una chuki naye jaribu kumtafuta umweleze matatizo yako ,pia nikujulishe kuwa buku saba hupatiWakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Vipi ramli yako chonganishi imefanikiwa?Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Vipi ramli yako chonganishi imefanikiwa?