John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

Jaji warioba mpaka namhurumia mzeee wawatu,kofi achapwe .kutumika akatumika ,ubunge mwane akose.labda alifanya haya kwa ajili ya chama na nchi kupona
 
Mzee kingunge ni mtu jeuri ma mwenye msimamo nampenda
 
Nitamsalimu wasalimie kina grad.bado.ataanza tu mwakani.mambo yalikua sio mazuri
 
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.

Sasa pole wewe mnafiki wa fisiem..!!
 
Nakweli hata mimi naona ulichoandika kina ukweli mtupu. yaani wewe una akili nyingi sana.
 
Wakazi wa Jimbo la Kibamba wameonyesha kuwa wanamuhitaji Mnyika kwa kumpatia madiwani katika kata karibu zote la Jimbo la Kibamba.
 
Back
Top Bottom