John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

Hahahahàaaaaa. .kichekesho ni kwamba..nyie magamba mnaochangia humu mmebaki wachache mno..kuna wakati unajibu mashambulizi 50..wewe peke yako au mnakuwa wawili..do you know the meaning of this sir????..you have been isolated! ..chama chenu kimekufa wananchi wameingiwa na nyongo..wanaoki support chama chenu ni wale wanao benefits moja kwa moja toka kwenye mfumo wenu au wajinga wasioelewa!
Tulia bwamdogo ueleweshwe.
Nani asiyejua mkakati wa Cyber-War ulioratibiwa na 4U Movement wa kuagiza vinawao wote kila mmoja afungue account zaidi ya 20 na kuhakikisha kila ID inafanya mashambulizi zaidi ya 20 kwa siku..unajua maanayake? Mmegeuka chama cha mitandao ya kijamii...unajua inplication yake? Tatizo hao wapanga mikakati wamesahau kuwa tar 25 oct ni kichwa kimoja, kura moja
 
Hili jibu zuri sana na thread ilitakiwa kufungwa baada ya post hii....

Kama ni hivyo unavyosema basi CCM hawatachaguliwa kamwe maana hawajawahi kemea ufisadi.
 
Suala la maji ni janga la kitaifa na sio kibamba tu peke yake ni maeneo mengi ndani ya jiji la dar es salaam na nje ya jiji kwa hiyo mnyika hawezi kuhukumiwa kwa hili
 
Tulia bwamdogo ueleweshwe.
Nani asiyejua mkakati wa Cyber-War ulioratibiwa na 4U Movement wa kuagiza vinawao wote kila mmoja afungue account zaidi ya 20 na kuhakikisha kila ID inafanya mashambulizi zaidi ya 20 kwa siku..unajua maanayake? Mmegeuka chama cha mitandao ya kijamii...unajua inplication yake? Tatizo hao wapanga mikakati wamesahau kuwa tar 25 oct ni kichwa kimoja, kura moja

Fungueni tu nanyi, ila MABADILIKO NI PALEPLALEEEEE.

Kura ya NDIYO KWA LOWASSA NA UKAWAAAAAAA
 
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.
Hoja yake ya UFISADI na kulete MAJI kwisha kabisa, sasa anahemea mashine za ICU
 
Mapovu yatawatoka mwaka huu, mwenyekiti wenu kachuja kama jeans ya mchina.
 
Ata me nipo kibamba mnyika hapati kura yangu

Mimi niko Kibamba nitahakikisha hiyo kura yako naifuta kwa kumpigia Mnyika. Halafu naona mnajipa moyo tu lakini hilo jimbo ni la Mnyika, hana mpinzani pale.

Tiba
 
Hajui hali ya wananchi wake.Kapotea toka achaguliwe.;
Tunanunua maji ndoo moja sh. 600 & yeye kakaa anakula kiyoyozi tu..
Ametusahau tuliompa kura;
Ubungo kakimbizwa kwa kauli zake za kebehi kwa watoto waliochaguliwa kidato cha kwanza , anakimbilia huku ambapo hajafanya lolote..;,Loh!!!! ;hatumtaki na sie...
Byebye Mnyika
 
Tiba katibiwe, unaonekana hujafanya research, kafanye research ndo uje useme hapa. Kuanzia ubungo hawamtaki mnyika, huku kibamba nako hawamtaki mnyika. Mimi nmefanya research
 
Back
Top Bottom