John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

Yaani maccm mnachekesha kweli, mnajitekenya na kucheka wenyewe.....
 
Hahaha...

Uchaguzi wa mwaka very interesting. Vijana wanaoendeshwa na wachuuzi tuliwaonya miaka mingi hawakusikia, sasa wakisoma maonyo tiliyowapa sijui wanajisikiaje.

Mkuu Mungi kamkana rais wa moyo wake Dr. Slaa. Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Chadema imeikana ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010 na kuitupa kwenye dust bin.

Waliokana kauli zao wanawashutumu waliosimamia misingi kuwa wamenunuliwa. Very interesting...
Nilicheka sana jana nilipoangalia ile picha Lowossa anamuombea kura Kafulila kamshika mkono.
 
Last edited by a moderator:
katka,watu ambao mnajisumbua,kuwawekea watu wa kushindana,nao ni mnyikaa.....
 
Hahaha...

Uchaguzi wa mwaka very interesting. Vijana wanaoendeshwa na wachuuzi tuliwaonya miaka mingi hawakusikia, sasa wakisoma maonyo tiliyowapa sijui wanajisikiaje.

Mkuu Mungi kamkana rais wa moyo wake Dr. Slaa. Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Chadema imeikana ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010 na kuitupa kwenye dust bin.

Waliokana kauli zao wanawashutumu waliosimamia misingi kuwa wamenunuliwa. Very interesting...
Kwenye ilani bahati nzuri imechukuliwa na Magufuli na anainadi vizuri
 
Si chadema pekee...Upinzani wote mmeambiwa "Shut-Up!!" linapokuja suala la ufisadi...kwa kifupi, mmeambiwa wooote muweke chini silaa yenu pekee ambayo ingeweza kuangamiza chama tawala...na hilo ndo bao la mkono aliloliongelea ndugu Nape
Haiwafanyi CCM kuwa bora maana tayari wanajulikana kuwa ni mafisadi kamili.
 
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.

I am not trying to be insensitive, ila umezunguka sana,you should be direct kufikisha "hoja" yako kuwa CHADEMA HAWAZUNGUMZII NENO UFISADI (though wanazungumzia na kukemea matumizi yasiyo na tija ya serikali na ubadhirifu). Usitumie mgongo wa wananchi wa kibamba na sentiments zako kufikisha ujumbe wako humu. The first priority ya jimbo ni changamoto za jimbo kwanza (maji,miundo mbinu, huduma za afya, elimu, maeneo ya biashara). I am of doubt that, hata ungekuwa wewe ungesimama jukwaani, ungeelezea kero za jimbo na namna utakavyo'zitatua. And the wananchi watakupima kwa hilo kupitia kauli zako za ushawishi.
 
Kabla chadema haijaingiliwa na majangili...Kibwagizo chenu kilikuwa "Pipooooz...Pawaaaaa"
Baada ya majangili kushika uskani...sasa imekuwa "Popooooo....Bawaaaaaa"

Hahahahàaaaaa. .kichekesho ni kwamba..nyie magamba mnaochangia humu mmebaki wachache mno..kuna wakati unajibu mashambulizi 50..wewe peke yako au mnakuwa wawili..do you know the meaning of this sir????..you have been isolated! ..chama chenu kimekufa wananchi wameingiwa na nyongo..wanaoki support chama chenu ni wale wanao benefits moja kwa moja toka kwenye mfumo wenu au wajinga wasioelewa!
 
We ndorobo Kabisa.Nani Kama Mnyika kwa kutetea watu kupata maji tena si Ubungo tu Bali Dar nzima mpaka Mswada Binafsi kuhusu upatikanaji Maji Dar ukapingwa na wabunge wa CCM! Mnyika mbuge bora bunge Lililopita.Nani Kama Mnyika?
 
Kama ni hivyo unavyosema basi CCM hawatachaguliwa kamwe maana hawajawahi kemea ufisadi.
Ccm ndiyo wanaongoza kwa kukemea ufisadi mfano kila aendapo magufuli anasema awanyoosha mafisadi kwa kuanzisha mahakama ya mafisadi.
 
Nilicheka sana jana nilipoangalia ile picha Lowossa anamuombea kura Kafulila kamshika mkono.
Ni aibu sana kwa watu waliotangzia umma kuwa wapinga ufisadi sasa ndiyo wanaongoza kwa ufisadi.
 
Mm nipo jimbo la Kibamba, huku Mnyika hata asipofanya campaign anashinda tu, siongei hivi kwa sababu ya ushabiki, bali ndio ukweli halisi ulivyo!

Mfano katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana, UKAWA walishinda kwa 70 %....pia huyu mama anaeshindana na Mnyika (Fenela Mkangala) ni dhaifu, hajulikani na hakubaliki kabisa huku
 
MaCCM bwana yanakurupuka tu mwaka huu mtaisoma namba.Mtatumia kila propaganda lakini hamtafanikiwa
 
Hawawezi kumtupa mnyika wewe, hilo ni jembe, tafuta namna nyingine ya kutudanganya.
 
a
Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.

Pole sana Mnyika.

wametangaza kupitia chombo gani cha habari au ndiyo wamekutuma uje utangaze dada yangu!! Na ni wangapi? usikute wewe na mume wako tu
 
Back
Top Bottom