John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

Dah Inaniuma sana kumkosa mbunge kama Mnyika kwenye bunge la 11
Nani atakuwa anaichangamsha serikali ya CCM kwa hoja mahususi?
 
Mwache Apoteze kimyakimya mbona ccm mmepanic sana kuanzia kwa mwenyekiti wa taifa mpaka kitongoji.
WATZ WANATAKA MABADILIKO
 
Jamaa alibebwa sana na dhana ile ya kupinga ufisadi,ila aliponyamazishwa na mbowe,kapotea nao
 
Nimepata taarifa kuwa yule mama kamwaga hela nyingi sana kwa wapiga kura wa Kibamba
 
Mnyika atakuwa mbunge wa kwanza kufungua milango ya bunge.
Watu wa kibamba wapo majumbani kwao na wao ni wapigajo kura wazuri.
 
Mnyika hana cha kupoteza kibamba
Historia ya mwaka
1995 inaweza kujirudia japa dar es salaam
 
yaani huko kimara ndo kwa. wazee, aisee huwaambii kitu kwa ukawa, mnyika hata asipofanya kampeni. atashinda ni kama mdee jimbo la kawe
 
Dah Inaniuma sana kumkosa mbunge kama Mnyika kwenye bunge la 11
Nani atakuwa anaichangamsha serikali ya CCM kwa hoja mahususi?
Serikali ya CCM? Kwani nani kakuambia itakuwepo? Sema chama tawala kitamkosa mbunge wa Kibamba kama Mnyika ataanguka
 
Hizi habari ni za uongo sana. Sijui watu wanapata wapi fursa ya kujenga uongo na uusimamia
 
Dah Inaniuma sana kumkosa mbunge kama Mnyika kwenye bunge la 11
Nani atakuwa anaichangamsha serikali ya CCM kwa hoja mahususi?

Bora wewe umetambua inayofuata ni serkali ya na ni, wasaidie na wenzio.
 
Hivi kuna mtu bado anaamini yule mama anaweza kumshinda Mnyika kibamba,? Tuanzie hapa kafyngia gazeti mahakama imesema alifanya makosa wamiliki walipwe fidia mabilioni hebu tuanzie hapo mtu kaitia hasara serikali anawezaje kuwa muwakilishi wa wananchi?
 
Wewe umekua NEC au Mnajimu? Kazi ya kumkataa au kumkubali mgombea yeyote itafanyika October 25, hapo ndio tutajua nani kapata na nani kapoteza jimbo.

Oktoba mbali mkuu
wana kibamba tushaamua
Mnyika hatakiwi kabisa

Mm nashauri asitumie huto tu pesa twake atakatopewa kustaafu ubunge
maana atabaki masikin na jimbo asipate kabisa
 
Dah Inaniuma sana kumkosa mbunge kama Mnyika kwenye bunge la 11
Nani atakuwa anaichangamsha serikali ya CCM kwa hoja mahususi?

Mm pia iliniuma
lakin yeye mwenyew ndio katusalit makamanda wenzake
kwenda kuungana na fisad kama lowasa tuliemponda miaka yote nane
 
Nimepata taarifa kuwa yule mama kamwaga hela nyingi sana kwa wapiga kura wa Kibamba

Hapana, ni propaganda za Mnyika baada ya kuona yy hakubaliki. Kiuhalisia, Mnyika alijichimbia kaburi yy mwenyew
 
yaani huko kimara ndo kwa. wazee, aisee huwaambii kitu kwa ukawa, mnyika hata asipofanya kampeni. atashinda ni kama mdee jimbo la kawe

Sijui upo kimara ipi ndugu
Au n mgen hapa dsm?

Kibamba sio tu hakubaliki bali hatakiwi kabisa
 
Hizi habari ni za uongo sana. Sijui watu wanapata wapi fursa ya kujenga uongo na uusimamia

Penda kusikia usivyopenda kuvisikia

makamanda wenzangu lazma tuelezane ukweli hata kama n mchungu
Yann kutiana moyo wakati iko waz mnyika hatakiw kibamba?
Bora tuambizane ukweli ili tujue tunafanya nn
 
Penda kusikia usivyopenda kuvisikia

makamanda wenzangu lazma tuelezane ukweli hata kama n mchungu
Yann kutiana moyo wakati iko waz mnyika hatakiw kibamba?
Bora tuambizane ukweli ili tujue tunafanya nn

Mimi ni mkazi Wa jimbo LA kibamba nachosema mnyika ndo mwakilishi wetu. Na kazi ya mbunge ni kutuwakilisha bungeni na kuisimamia serikali ilete maendeleo.
 
Back
Top Bottom