John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

siku hizi kila uozo unaofanywa na chadema utasema ni njama za ccm, au hoja nyepesi kwamba wanashughulikia masuala mazito ya kitaifa.........sijui masuala gani hayo. kamanda wa arusha amesimamishwa kimizengwe zengwe na hawahawa jamaa..hatujasahau wameleta mauzauza mengine.....mi nadhani tuache ushabiki..hatuwezi kujenga chama imara kwa hoja nyepesi tu za kudai kupambana na ccm.....kwani shughuli pekee ya chadema ni kupambana na ccm?

Mkuu, ndiyo sababu hujasikia Mwenyekiti wa Chama au Katibu mkuu wakicomment. Yako mambo ya maana zaidi ya kushughulikia. Ukombozi wa Taifa letu umekaribia. Ole wao wasaliti, historia itawarekodi sawa sawa. Zito bila shaka anakumbuka ushauri aliopewa katika kikao kilichosababisha alazwe Agakhan mwaka 2010.
 
Ile nyingine ya Udini leo imegoma enhe!

Me naishi ndani ya MTWARA zaidi ya 98% ya WACHAGGA lazima wawe CDM hata polisi.hii inakera sana,sijui mikoa mingine,Nafasi ya CCM NEC MTWARA MJINI wamemchagua GOD BLESS KWEKA(Mchagga),MBUNGE VITI MAALUM MKOA wamemchagua MAMA WAMBURA (MKURYA).MBUNGE (mjini)MTZ mwenye ASILI YA INDIA MURUJI,VJIJINI mbunge GHASIA(mwanamke),hamna UKANDA,UKABILA,DINI,RANGI,JINSIA,Sasa nenda kwenye mikutato mikuu ya mwaka CDM kuna madaraja ya Ukanda,hata GUEST wanazofikia wa kanda yao ni BABKUBWA na ndio wanajifanya wenyewe.Ukanda noma!!!
 
Mkuu, ndiyo sababu hujasikia Mwenyekiti wa Chama au Katibu mkuu wakicomment. Yako mambo ya maana zaidi ya kushughulikia. Ukombozi wa Taifa letu umekaribia. Ole wao wasaliti, historia itawarekodi sawa sawa. Zito bila shaka anakumbuka ushauri aliopewa katika kikao kilichosababisha alazwe Agakhan mwaka 2010.
kwamba anyamaze la sivyo mtamchacha wangwe! lol! hata aibu hamna now mnaadmit kwamba ya shonza na mwenzie ni ya kweli........mnakera sana sana na democrasia kivuli hiyo..kila kinachowahusu hamshughulikii mnajifanya mna mambo makubwa ya kitaifa kumbe mmepigwa za uso......----- mtupu
 
Hiyo ndo Topic yenyewe, wewe umesema ZZK keshakula Mzigo, UNA USHAHIDI?? Msiwe wepesi wa kukurupuka na kukimbila ku comment / kuandika kwa sababu za ushabiki na chuki tu! Kuweni Objective!
Kaka hawa jamaaa unawatesa UCHAGGA.ukabila mbaya,sijui wameambiana ZITTO anataka kuuamisha mlima Kilimanjaro!!!
 
acheni ukabla. wachagga wapo wengi ccm hata kuliko chadema. Jimbo la siha linaongozwa na ccm, jimbo la moshi vijijini linaongozwa na ccm, jimbo la vuvyo ni tlp. ni majimbo matatu tuu kilimanjaro yanaongozwa na chadema, wakati mengine yote ni ccm. ongeeni with facts. kuna wachaga wengi ambao ni ccm kuliko chadema. tatizo la ccm ni kwamba vijana wenigi wapendi ccm
 
acheni ubaguzi na chuki kwa wachagga. wachagga ni watanzania kama makabila wengine. sii kweli kuwa wachagga ni wengi chadema. chadema inaongoza majimbo mangapi kilimanjaro au arusha?. Mbowe na lema kuwa popular haina maana kuwa wanawakilisha wachagga wote. hadi sasa wachagga wengi wameshanza kuishi kwa mashaka tanzania kufuatia ubaguzi unaokuzwa na siasa chafu za tanzania
 
ubaguzi wa wachagga sasa umezidi. ni lini wachagga walishaudhuria mkutano wa chadema pekee, au kuwa na uanachama? huko kote chadema inafanya mikutano inafanya na wachagga?. chedema ni chama cha kitaifa, acheni kukichafua kwa hila zenu za uongo, ambazo hazina research.
 
makamanda tupange ratiba ya kwenda kumtembelea na kumpelekea chakula kamanda mwenzetu yericko kule lupango maana naona siku zake za kuishi kigamboni zinapungua
 
Kuna watu wanazidanganya nafsi zao kuwa sakata hili litakuwa limeisha (closed) baada ya Mh. Mnyika kutoa tamko ambalo limekuja baada ya kelele za Andrea Cordes, Mh. Zitto na Dr. Kitila.

Watu wa kulimaliza sakata hili ni watajwa kwenye 'Taarifa ya Siri ya Chadema' ambapo neno kutoka CHADEMA ndiyo lilikuwa linasubiriwa kuwapa direction ya watakachokifanya ambapo Mh. Zitto amebainisha kama atachukua hatua kisheria.

Kwa watu wenye fikra pana watatambua kuwa mwandishi wa 'hekaya' hii hajatoka from nowhere kutokana na jinsi alivyotumia njia ya kuua ndege wengi kwa jiwe moja ( one allegation, connect persona) to kill their credibility na kikubwa zaidi, allegation zinahusishwa na uhujumu CHADEMA kwa viongozi wandamizi wa juu ndani ya chama.

Huyu atakuwa ni mtu anayefahamu kama kuna mgogoro ndani ya chama na anatumia njia ya kuua credibility za wahusika katika kutatua mgogoro little known kuwa badala ya kuua mgogoro, anachofanya ni kuukuza. Kwa sasa tayari kuna political trickle-down effect ambapo kamati kuu na sekretarieti ya kamati kuu zimegawanyika ambapo hatufahamu trickle-down-effect kwenye Baraza kuu la chama iko kwenye kiwango kipi.

Kuna watu wana mlalamikia Mh. Mnyika katika kukabiliana na msuguano huu lakini wanashindwa kuelewa kuwa Mh. Mnyika na yeye ni walewale wanaoitwa political collateral damage. Hataki kujiingiza kwenye kadhia hii lakini majukumu ya kazi yake yanamfanya ashindwe kujiweka pembeni hasa ikichukuliwa kuwa Katibu Mkuu ndiye boss wake.

Hapa ngoma ndiyo imeanza kabisa kwa sababu matatizo haya yameishafikia point of no return kupitia kikao cha kamati kuu. Makundi yote yameota mapembe.

Busara za Baraza kuu zinahitajika na siyo kuyaweka makundi chini ya kapeti.
 
Kuna watu wanazidanganya nafsi zao kuwa sakata hili litakuwa limeisha (closed) baada ya Mh. Mnyika kutoa tamko ambalo limekuja baada ya kelele za Andrea Cordes, Mh. Zitto na Dr. Kitila.

Watu wa kulimaliza sakata hili ni watajwa kwenye 'Taarifa ya Siri ya Chadema’ ambapo neno kutoka CHADEMA ndiyo lilikuwa linasubiriwa kuwapa direction ya watakachokifanya ambapo Mh. Zitto amebainisha kama atachukua hatua kisheria.

Kwa watu wenye fikra pana watatambua kuwa mwandishi wa 'hekaya' hii hajatoka from nowhere kutokana na jinsi alivyotumia njia ya kuua ndege wengi kwa jiwe moja ( one allegation, connect persona) to kill their credibility na kikubwa zaidi, allegation zinahusishwa na uhujumu CHADEMA kwa viongozi wandamizi wa juu ndani ya chama.

Huyu atakuwa ni mtu anayefahamu kama kuna mgogoro ndani ya chama na anatumia njia ya kuua credibility za wahusika katika kutatua mgogoro little known kuwa badala ya kuua mgogoro, anachofanya ni kuukuza. Kwa sasa tayari kuna political trickle-down effect ambapo kamati kuu na sekretarieti ya kamati kuu zimegawanyika ambapo hatufahamu trickle-down-effect kwenye Baraza kuu la chama iko kwenye kiwango kipi.

Kuna watu wana mlalamikia Mh. Mnyika katika kukabiliana na msuguano huu lakini wanashindwa kuelewa kuwa Mh. Mnyika na yeye ni walewale wanaoitwa political collateral damage. Hataki kujiingiza kwenye kadhia hii lakini majukumu ya kazi yake yanamfanya ashindwe kujiweka pembeni hasa ikichukuliwa kuwa Katibu Mkuu ndiye boss wake.

Hapa ngoma ndiyo imeanza kabisa kwa sababu matatizo haya yameishafikia point of no return kupitia kikao cha kamati kuu. Makundi yote yameota mapembe.

Busara za Baraza kuu zinahitajika na siyo kuyaweka makundi chini ya kapeti.

Wewe ndiye unayejidanganya nafsi yako.
 
Wewe ndiye unayejidanganya nafsi yako.
Mkuu, Niache niendelee kujidanganya nafsi zangu hasa ikichukuliwa kuwa uwongo unapanda ghorofa kwa kutumia lifti, lakini hata hivyo, hauwezi kubadilisha ukweli.
 
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!

Mkuu Tiger One inaelekea unajua zaidi ya hayo! Basi tutategemea mengi kutoka kwako!
 
Zitto ebu jichunguze kila lisemwalo lipo wanao kutuhumu ni watu binafsi nasio chdma ebu wajibu wote kwa hoja madhubuti na sio kuzunguka mbuyu.
 
chadema ina SARATANI YA UBAGUZI.

nyerere alitibuana na mtei kwa sbb za kibepari.

theory; huwezi kusimamisha ubepari bila kuplant ubaguzi.

kama nyama ya mtu mmesha ila labda afe mtei ndo chama kitapona.
Ama kweli wewe ni Tofyo!
 
dr slaa na mbowe toeni tamko tuwe huru na haya majitu ya ccm mtandaoni

Kunyamaza ni jibu zuri sana kwa -------- ili ajione upumbavu wake.Nawashauri waendelee kupiga kiiiimya!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
John Mnyika hii unayoonyesha ni dharau kubwa sana kwa zito na wanachama wenu. Haiwezekani tuhuma nzito zinazochafua chama kama hizi uzijibu kwa email tena kumjibu mtu aliyoko ujerumani, je vipi hao wasio na hata uwezo wa kupitia mablog watajuaje? Vipi kuhusu kiongozi wa juu wa chama kuchafuliwa hamjaona haja ya kumsafisha tena kwa tuhuma iliyounganishwa na chama chenu? Huu ni mpango mbaya sana dhidi ya viongozi wenzenu wa chama.
 
Last edited by a moderator:
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!

Maswali haya akiyajibu Zitto bila kuzunguka, mimi pia nitamuunga mkono. Lakini bila majibu ya maswali haya kutoka kwake mwenyewe, au wale wanaoamini kwamba anachafuliwa, bila uelewa wa haya uliyoyaeleza, basi hiki kitakuwa ni kipimo kingine cha uelewa mfinyu wa watu wetu.
 
Back
Top Bottom