John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

Chadema imekufa

Naona wewe unapingana kabisa na boss wako W.J. Malecela....
Hebu angalia hapa jinsi boss wako anavyokuamuru wewe na wenzako katika mapambano dhidi ya Chadema...
Halafu wewe unasema Chadema imekufa..??????

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
SNOWDEN yko hata huku mzee,kumbe siri ya kukataa posho ndo ilikuwa hii??????? DK usipige kelele acha ukweli utajitenga na uongo.

1.
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!
 
Mnyika unataka Dr Kitila Mkumbo akae kimya asijisafishe mbele ya jamii malalamiko yake ayapeleke Chadema.
 
Sasa kumekucha!

Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana mjadala kuhusu hii ripoti.

Mengi tutayajua zikiwemo mbivu na mbichi kuhusiana na sakata hili. Ila Dr. Mkumbo umenichekesha sana na utetezi wako dhaifu na wa kupanic!!!
 
Vizuri sana kwa afisa habari chadema.
kwa kutoa msimamo wa chama na cha kupendeza zaidi ripoti iliyosambazwa inaonekana ya kawaida kama nyingine.
 
Kukuru kakara za ukabila sasa zimefikia ukomo.sasa cdm inadidimia polepole.inaavyonekana hapa hakuna
dawa ndo maana mabosi wao wamekaa kimya
 
inahitaji hekima fulani ili kuibaini kweli ama nia ya haya malumbano pamoja na wanaoishabikia ama kuitengeneza
 
Kweli Mnyika ana kichwa kitupu na kuna kila sababu ya kushinikizwa arudi shule angalau apate hata cheti cha uandishi wa habari...maana hajui lolote kuhusu habari huyo Mnyika.

Kwahiyo kwa kifupi kabisa CDM kichwa ni Zitto peke yake???
 
Kosa la kitila sijaliona yeye mnyika na wenzake akina yericko,ben na wahuni wengine ndiyo chanzo cha huu mgogoro kwa nini hajawakanya akina ben na yeriko wakati wanamchafua zito na kwa nini hajatoa tamko dhidi ya tamko linalodaiwa kuwa limetoka makao makuu ambalo linamchafua kitila na zitto.

Wewe kwa nini hupendi ukweli uwekwe wazi? Bila shaka jibu ni kuwa wewe ni MUHUNI TU.
 
chadema mmekosa busara mnashindwa kutatua matatizo yenu ndani ya chama, naona mnamakundi na mmeshagawanyika kwa hali hii sinto waamini tena, masikini nchi yangu tanganyika hakuna wa kuikomboa, tunaangamizwa na minyororo ya ufisadi wa ccm.
 
Kukuru kakara za ukabila sasa zimefikia ukomo.sasa cdm inadidimia polepole.inaavyonekana hapa hakuna
dawa ndo maana mabosi wao wamekaa kimya

Halafu huyu Molemo anapenda sana kuihusisha ccm kwenye ujinga wao wanaoufanya!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwe na ukabila?!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwatume wakina Yericko Nyerere na yule mwehu wenu wa Arusha kuja kupost ujinga unaoanza sasa kuwagharimu humu ndani?!

Hivi Molemo.CCM ndio imemtuma zito awalime barua,Shibuda awatake na hasa ninyi BAVICHA mumuombe radhi?!

Hebu fika wakati ujiongoze kwa kichwa chako achana na hizo akili za kushikiwa.

Halafu nahisi wewe ni miongoni mwa wanahusika kuichafua chadema na wewe utakuwa kwenye kundi la kutaka kuimaliza chadema!
 
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!

Swali no 5 linamantiki sana,natamani alijibu
Zitto anasahau kuwa haihitaji Phd kujua anayosema kama ni kweli ama la
 
Halafu huyu Molemo anapenda sana kuihusisha ccm kwenye ujinga wao wanaoufanya!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwe na ukabila?!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwatume wakina Yericko Nyerere na yule mwehu wenu wa Arusha kuja kupost ujinga unaoanza sasa kuwagharimu humu ndani?!

Hivi Molemo.CCM ndio imemtuma zito awalime barua,Shibuda awatake na hasa ninyi BAVICHA mumuombe radhi?!

Hebu fika wakati ujiongoze kwa kichwa chako achana na hizo akili za kushikiwa.

Halafu nahisi wewe ni miongoni mwa wanahusika kuichafua chadema na wewe utakuwa kwenye kundi la kutaka kuimaliza chadema!

Mkimsikia Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa mnatamani ardhi ipasuke mjifiche huko.
 
Kweli Mnyika ana kichwa kitupu na kuna kila sababu ya kushinikizwa arudi shule angalau apate hata cheti cha uandishi wa habari...maana hajui lolote kuhusu habari huyo Mnyika.

Kuhusu Huyu Kijana Kamwulize Lukuvi Na Makinda, Watapingana Na Kauli Yako
 
chadema ina SARATANI YA UBAGUZI.

nyerere alitibuana na mtei kwa sbb za kibepari.

theory; huwezi kusimamisha ubepari bila kuplant ubaguzi.

kama nyama ya mtu mmesha ila labda afe mtei ndo chama kitapona.

ataanguka yule anayeangukanguka hovyo majukwaani..
 
Mnyika ni mhuni, amejibu kihuni kweli kweli, utamlaumuje mlalamikaji badala ya kutoa majibu sahihi wala kuwahoji walalamikiwa waliosambaza hizi taarifa za kihuni

Na Majibu Ya Zito Kuhusu Taalifa Ya Mtandaoni Yalijitosheleza?
 
Halafu huyu Molemo anapenda sana kuihusisha ccm kwenye ujinga wao wanaoufanya!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwe na ukabila?!

Hivi Molemo.CCM ndio iliiambia chadema iwatume wakina Yericko Nyerere na yule mwehu wenu wa Arusha kuja kupost ujinga unaoanza sasa kuwagharimu humu ndani?!

Hivi Molemo.CCM ndio imemtuma zito awalime barua,Shibuda awatake na hasa ninyi BAVICHA mumuombe radhi?!

Hebu fika wakati ujiongoze kwa kichwa chako achana na hizo akili za kushikiwa.

Halafu nahisi wewe ni miongoni mwa wanahusika kuichafua chadema na wewe utakuwa kwenye kundi la kutaka kuimaliza chadema!

hivi chadema ndio ilimtuma zitto apokee hela za ccm kukihujumu chama?
hivi chadema ndio ilimtuma zitto ashirikiane na mwigulu nchemba kule arusha?
 
Back
Top Bottom