...Hapa nimemdharau Mnyika,yawezeka nae yupo kwenye timu iliyo nyuma ya uchafuzi huu....
Sio nyuma!mbele! kitengo cha Habari na propaganda wanafuja Pesa za ruzuku,kwajili ya kuchafua watu na wengi wao ni kutoka kanda yao.
Nyie ndiyo mnaosababisha Zitto atiliwe shaka na wanachama wenzie.
CCM mnahangaika sana!
Mbowe na Dr Slaa wamewashika pabaya sana.
Mnyika anatumika naye
Zitto angekuwa mtoto wa kike angekuwa anaachika kila siku kwa waume zake...Ulishajibiwa na chama na huyo mwanamke wako wa ujerumani alijibiwa sasa unataka nini tena..watu wafupi mna matatizo sana bana
Sure Mkuu. Mnyika ni mfuasi mtiifu wa Mbowe
Tamko limeshatolewa na kurugenzi ya uenezi inatosha mkuu
Tatizo kila mbinu ya CCM inashtukiwa na kudhibitiwa kikamilifu.
Zitto angekuwa mtoto wa kike angekuwa anaachika kila siku kwa waume zake...Ulishajibiwa na chama na huyo mwanamke wako wa ujerumani alijibiwa sasa unataka nini tena..watu wafupi mna matatizo sana bana
, ukiwaona wezi, mafisadi, majangili wa nyara za serikali na wauza sembe wanamtetea mtu basi jua tu lazima kuna jambo ambalo si la kawaida kwa huyo anayetetewa na hayo majambazi.Yaani kumtetea mtu anayeonewa siku hizi imekuwa jambo baya?