John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

Molemo usjifanye mtoto wewe u mtu mzima lakini unataka kujilinganisha na junior kiakili jambo ambalo ni baya sana.

zito amechafuliwa mara kibao kwenye mitandao hata kwenye vikao vyenu halali na vile vya siri kisa madaraka dhambi hiyo itawatafuna tu.

Simiyu yetu mnachekesha wanyama na watalii,hivi nyie maccm,lini mmegeuka kuipenda chadema kiasi kwamba mnaingiwa huruma na kuteseka kwa kuchafuliwa ZZK?
Hivi kama kweli madai yenu ni ya kweli kwamba ZZK ni kiongozi bora,imara,iweje mnataka kiongozi atakaesababisha mng'olewe madarakani?hivi simiyu yetu unayajua lengo la kwanza lililopo kwenye katba yenu ya ccm?huenda hujui,linasema hivi,ukurasa wa tano;kushinda ktk uchaguzi wa Serikali za mitaa Tz bara na znz ili kuuunda na kushika Serikali kuu na Serikali za mitaa ktk jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa upande mmoja na znz kwa upande wa pili.
Sasa tunachojiuliza wengi ni hv,iweje leo mnampigania kiongozi mahiri ili msitimize malengo yenu?ndo maana tunamtilia mashaka ZZK.
Tumieni akili maccm.
 
Naomba tulumbane lakini tusifarakane. Malumbano ya hoja ruksa. Nawasihi wanachadema viongozi kwa wanachama tuwe kitu kimoja na mahasimu wetu wabaki kama walivyo hadi itakapobainika vingine. Ahsanteni kwa kunisikiliza
 
John Mnyika hii unayoonyesha ni dharau kubwa sana kwa zito na wanachama wenu. Haiwezekani tuhuma nzito zinazochafua chama kama hizi uzijibu kwa email tena kumjibu mtu aliyoko ujerumani, je vipi hao wasio na hata uwezo wa kupitia mablog watajuaje? Vipi kuhusu kiongozi wa juu wa chama kuchafuliwa hamjaona haja ya kumsafisha tena kwa tuhuma iliyounganishwa na chama chenu? Huu ni mpango mbaya sana dhidi ya viongozi wenzenu wa chama.

Kazi ya J J Mnyika sio kusafisha wanachama na Viongozi wa CDM.ukichafuliwa au ukijichafua,kwanza jisafishe mwenyewe.muhusika anajua wapi uchafu ulipo ktk sehemu za mwili wake,lkn pia muhusika lazima ajifunze kutokuukaribia uchafu,mara nyingine kama ni kiatu kuchafuka huwa tunatembea na brush,au kama ni nywele tiba ni kitana tu,itoshe tu kukujuza kwamba Mnyika kazi yake si kukogesha wanachama na viongozi wa Chadema.
Umenielewa mkuu au umelewa?
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndiyo mnaosababisha Zitto atiliwe shaka na wanachama wenzie.

Mkuu hilo ndio lengo lao,wanajifanya wanamapenzi ya huba na Zitto ila nia yao Zitto aharibikiwe,akosane na viongozi wenzake na wanachama wamchukie. Wanafahamu wazi kuwa Zitto hawezi kuyafanya haya afanyayo bila Chadema na kumpunguza nguvu au kuitokomeza kabisa ni kwa kumuharibia ndani ya Chadema kwa kumfitinisha na wenzie. Bahati mbaya kidogo mdogo wangu Zitto anataka kupotoka na kujisahau kwa hizi huba anazoonyeshwa na hawa wanafiki wa Lumumba. ZITTO CHADEMA ILIYOKULEA HAIWEZI KUKUCHUKIA ILA KAMA KUNA KOSA KAMA MWANADAMU ITAKUREKEBISHA NAWE NI JUU YAKO KUKUBALI KUREKEBISHWA KISHA MNASONGA MBELE.
 
ZZK si msaliti ila ccm wanahisi wakitumia jina lake wataidhoofisha CDM,my bro ebu wakane ccm na waache kutumia jina lako
 
Hivi, ZITTO hana ofisi ndani ya CDM makao makuu, hakutani Dr. huko amuulize hayo.

Kuna haja ya kuzungumza na media na kusema kuwa nimemwandikia barua Dr. Slaa, wakati wanashare ofc? Mimi simwelewi kabisa huyo mtu.

Mkuu unajua ikitokea ukajiona wewe ndo wewe hapa duniani hayo ndo matatzo yake,swali lako linahusu sana,jiulize anapotaka Dr atoe tamko,wakati yeye ni mbadala wa Dt Slaa kiutendaji maaana yake nini?anataka kutiambia oficini hafiki?au anataka kutuambia hashiriki kazi za chama?badala yake anazunguka kujijenga mwenyewe,no way kuna tatizo mahali sio bure.ananifanya niyakumbuke ya dr warid amani kabouru.
 
acheni ukabla. wachagga wapo wengi ccm hata kuliko chadema. Jimbo la siha linaongozwa na ccm, jimbo la moshi vijijini linaongozwa na ccm, jimbo la vuvyo ni tlp. ni majimbo matatu tuu kilimanjaro yanaongozwa na chadema, wakati mengine yote ni ccm. ongeeni with facts. kuna wachaga wengi ambao ni ccm kuliko chadema. tatizo la ccm ni kwamba vijana wenigi wapendi ccm

teh! ccm chama cha vikongwe
 
Mkuu unajua ikitokea ukajiona wewe ndo wewe hapa duniani hayo ndo matatzo yake,swali lako linahusu sana,jiulize anapotaka Dr atoe tamko,wakati yeye ni mbadala wa Dt Slaa kiutendaji maaana yake nini?anataka kutiambia oficini hafiki?au anataka kutuambia hashiriki kazi za chama?badala yake anazunguka kujijenga mwenyewe,no way kuna tatizo mahali sio bure.ananifanya niyakumbuke ya dr warid amani kabouru.

huyu wanaojua walishamwambia "Kumbikumbi huruka Lakini Huliwa", bahati mbaya hasikiagi, mwacheni, ulimwengu utamfunza, inawezekana mama hakumfunza sawasawa.
 
Wewe ni GT,ngoja tusubiri majibu haya toka kwa Zitto na wapambe wake. Wakiyajibu haya kwa ufasaha
hata mimi nitarejesha imani yangu kwa Zitto yule wa enzi ya Buzwagi'

huyo hayupo tena, alishauliwa na pomposity..
 
Kweli madaraka ni hatari yaani kusikia Dr. Kitila anataka kugombea uenyekiti wa chama taifa kwa hofu yao juu ya ukaribu wake na Zitto wanadhani atampendekeza Zitto awe katibu mkuu wake,
 
Hivi haya yangeongelewa mbele ya waandishi isingekuwa tosha kumaliza huu upepo usio na umuhimu wa maendeleo ya jamii???!!!!

Wazo zuri sana hakuna sababu ya kuwapa magamb kenge mwanya fanyeni press conference mnyika, zito, mkumbo na Dr slaa mchezo kwisha
 
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!

ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri.
 
Tutaongea mengi. Tutakesha mpaka asubuhi, jibu hatutalipata na ukweli hautapatikana itabaki sitofahamu ndani ya jamii huku tukibaki kunyoosheana vidole midhili ya mirindimo ya pwani. siku zote jamii hujengwa na wenye nguvu au kwa lugha nyingine naweza kusema kuwa jamii hujengwa na wanajamíi wenyewe, Kwa upande wa pili naweza kusema kuwa adau wa wa mtu ni mtu, mbaya wako ni mtu anayekujua/ kukufahamu. Tukirudi kwenye ripoti hii sio bure kuna jambo na kama halipo linakuja. Siku zote tunaamini kuwa panapofuka moshi pana moto. Swali ni kwanini kalengwe Zitto Zuberi, au kwa nini wamelenga viongozi wa Chadema!. Maoni yangu yangu kama mwana jf ni kama ifuatavyo:
-uchunguzi wa kina ufanyike wakianza kwenye chanzo cha taarifa hii.
-Baada ya uchunguzi kukamilika tunahitaji Makamanda watujie na tamko la chama.
-Kwa kufanya hivi ukweli utakuwa ukweli na kama ni ule mchezo wa mtandaoni basi ukakasi utaondoka.
 
Politics is a game of mind........... Ukiweza kucheza na akili za watu wengiiiiiiiii una win in politics...
 
Mkuu nakushauri pigania maendeleo ya mkoa wa Rukwa kwanza!

Mkisikia majabali ya kisiasa Mbowe na Dr Slaa mnatetemeka mpaka nguo zinawadondoka.

mkuu molemo, magamba wamechanganyikiwa kuona majabali ya saiasa bongo, mh mbowe na mh dr slaa wako kimya. these are great leaders. they know what they are doing and the majority cdm members and peoples of tz, are behind them. in this, we shall prevail.
 
Wakuu.
Kimsingi huu mjadala Kamanda Mnyika ameufunga rasmi.
Ila itabid tuwazoee tu wale wa Buki 7 FC ambao kupitia huu mjadala mkono wao huenda kinywani.
Chamsingi kwa sasa ni kuwapuuza tu.
 
Back
Top Bottom