Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,478
- 283,869
Kwanini mambo ya Zitto yanashabikiwa sana na Lumumba project ?
Maswali haya akiyajibu Zitto bila kuzunguka, mimi pia nitamuunga mkono. Lakini bila majibu ya maswali haya kutoka kwake mwenyewe, au wale wanaoamini kwamba anachafuliwa, bila uelewa wa haya uliyoyaeleza, basi hiki kitakuwa ni kipimo kingine cha uelewa mfinyu wa watu wetu.
Hivi haya yangeongelewa mbele ya waandishi isingekuwa tosha kumaliza huu upepo usio na umuhimu wa maendeleo ya jamii???!!!!
John Mnyika hii unayoonyesha ni dharau kubwa sana kwa zito na wanachama wenu. Haiwezekani tuhuma nzito zinazochafua chama kama hizi uzijibu kwa email tena kumjibu mtu aliyoko ujerumani, je vipi hao wasio na hata uwezo wa kupitia mablog watajuaje? Vipi kuhusu kiongozi wa juu wa chama kuchafuliwa hamjaona haja ya kumsafisha tena kwa tuhuma iliyounganishwa na chama chenu? Huu ni mpango mbaya sana dhidi ya viongozi wenzenu wa chama.
A.k.a. CCM!
Nimefatilia sana matamko ya Zitto na Mkumbo na nimeona niwashauri wafanye yafatayo ili kujiosha na shutuma hizi juu yao.
1. Zitto weka wazi kama kweli unafahamiana na yule mwanamke raia wa Ujeruman na imekuwaje wachafuzi wako waku connect naye?
2. Zitto hupokei posho na huli rushwa, tueleze unawezaje kumiliki nyumba kubwa ya gorofa na gari expensive aina ya Range Rover New Model?
3. Zitto hivi umewahi kuwatumia pesa washutumiwa wale wote kwa njia ya mitandao ya simu? Kitila, Shibuda, mwampambe, shonza nk.
4. Zitto unafahamu hizi shtuma hazijakilenga chama ila wewe na wenzio indidually; na wala chama hakijatoa shutuma hizo bali watu binafsi kama wao. Sasa inakuwaje unadai kumtaka katibu mkuu kutoa tamko? Kwani yeye atoe tamko kwa kukusemea wewe au kuwasemea wale wanaokushutumu ambao naye hawajui pia? Humtendei haki kiongozi yeyote wa chama kutaka akutetee. Kwanini usimtake na kumwomba mtuhumiwa mwenzio Ben Sanane anayeonekana mda wote JF akusaidie kueleza ukweli? Unaogopa anaweza kuharibu zaidi?
5. Zitto wewe ni kiongozi mkubwa Chadema lakini unadai umemwandikia barua katibu mkuu wa chama chako juu ya swala hili hajarespond; je hamna mazoea ya kuwasiliana kwa simu wakat mwingine hata na Mweyekiti wako? Twambie kabla hata ya wao kuja na thibitisho au kanusho unazotaka lakini wanakushaurije au wanakwambije juu ya kashifa hii? Au hamuwasiliani?
6. Zitto mikutano yako ya kichama na ziara zako zote mikoani kwa sasa zinaratibiwa kichama? Ziko kwenye ratiba ya ziara za viongozi wa chama? Huwa unarudisha mrejesho? Unwasilisha wapi mrejesho? (Feedback)
Dr Kitila ntakujia baadae jiandae kujibu tuhuma sio kupanic na kudai huongeki. Wewe bado sana kuridhika kifedha kaka nakufahamu. Jibu tu shutuma tene kwa busara na hekima ujikoshe!!
mwonapo mambo haya yakitokea changamkeni inueni vichwa vyenu juu mjue ule mwisho umekaribia. asomaye na afahamuKwani chadema nani kawaroga kuhusu hizi ishu za kugombania na kukatalia madarakani.
na hapo ndipo itakaposemwa kuwa mwenye macho haambiwi tazama!Kwanini mambo ya Zitto yanashabikiwa sana na Lumumba project ?

Molemo usjifanye mtoto wewe u mtu mzima lakini unataka kujilinganisha na junior kiakili jambo ambalo ni baya sana.
zito amechafuliwa mara kibao kwenye mitandao hata kwenye vikao vyenu halali na vile vya siri kisa madaraka dhambi hiyo itawatafuna tu.