- Thread starter
- #21
Molemo usjifanye mtoto wewe u mtu mzima lakini unataka kujilinganisha na junior kiakili jambo ambalo ni baya sana.
zito amechafuliwa mara kibao kwenye mitandao hata kwenye vikao vyenu halali na vile vya siri kisa madaraka dhambi hiyo itawatafuna tu.
Mkuu nakushauri pigania maendeleo ya mkoa wa Rukwa kwanza!
Mkisikia majabali ya kisiasa Mbowe na Dr Slaa mnatetemeka mpaka nguo zinawadondoka.