John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

kwa mazingira ya sasa bado anahitajika mwenyekiti ambaye yupo tayari kukabilianana misukosuko mikubwa ikwemo kukamatwa kuwekwa ndani na kuongoza maandamanoya kupinga udhalimu wa chama dola.Mnyika bado hajafikia hapo bado anapikwa.CCM wanapenda viongozi wa upinzani wawe lege lege,Mbowe bado anafaa mana anaaminipia kuwa kuwachekelea watawala ccm na police wao nisawa na kumchekea nyani mwishoni kuvuna mabua.Kama mdau mmoja alivyochangia tumwache mnyika awe mtendajikwa nafasi aliyo nayo.
 
Kwahiyo damage ya a distorted reputation ndiyo iwape chadema Mnyika?

nimesema kuhusu 'connection' na age ya wapiga kura wengi
na mengine mengi tu.....
he is better kulinganisha na Mbowe na SLAA...
KWA MAONI YANGU...
 
Sikupenda niingilie hapa ila nimevutiwa na majibizano yako na Mwita!
Mkuu wangu BAK, sitaki kukukatisha tamaa ila pia siwezi kukuruhusu ujipe moyo kiasi hicho,
nakubaliana na Mwita kuwa sisi watz ni "MAKONDOO" kweli jamani.
Labda kwa kizazi kijacho cha wajukuu wetu ila hichi cha sasa ni hamna kitu kabisa.
Saiv huku bongo tunaburuzwa kwenye suala la katiba lakini kila kitu kinaendelea as usual utafikiri KATIBA ni suala la watu flani tu.
Nina sikitishwa sana na mwamko wa sisi wabongo katika masuala ya misingi mikuu ya nchi.
Ntarudi na hoja kwa The B!

Ni kweli Mkuu JG sisi ni makondoo lakini dalili za hapa na pale zimeanza kujionyesha kwamba taratibu katika baadhi ya mikoa wanaanza kuuweka pembeni ukondoo wetu, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kweli basi mimi naamini kabisa hali hii ya kuuvua ukondoo wetu itasambaa katika mikoa mingine na hatimaye Watanzania nchi nzima kuamua kuuvua ukondoo na hapo ndipo utaona nguvu ya umma ilivyo kubwa kuliko hata nguvu ya dola. Hali hii inaweza isitokee kesho wala kesho kutwa lakini katika miaka michache ijayo naamini kabisa hili litatokea.
 
nimesema kuhusu 'connection' na age ya wapiga kura wengi
na mengine mengi tu.....
he is better kulinganisha na Mbowe na SLAA...
KWA MAONI YANGU...
Ok,
Rudi kwenye original post uondoe hilo la uchagga na hiyo reputation,then tuendelee na zilizobaki.
 
nafahamu but kiongozi
kwanza awe na pesonal qualities....

na wewe mwenyewe umesema 'ana uwezo wa kujieleza better 'kulinganisha na wengine..

Namkubali Mnyika lakini kwa maelezo, mahitaji na vielelezo vyako, sounds like you are collecting the bricks to the 'another Obama in making Project'
 
nimesema kuhusu 'connection' na age ya wapiga kura wengi
na mengine mengi tu.....
he is better kulinganisha na Mbowe na SLAA...
KWA MAONI YANGU...
Mkuu kwasababu hilo la reputation haliko,nimekuwa curious kuona ni kivipi umemrank above Slaa na Mbowe.

Nipatie sababu tangible.
 
Hivi mbowe akienda Ujerumani au Uingereza kwa wahisani wao uwa anaongea lugha gani?

Kingereza hajui au anaongea ile lugha ya viziwi kwa kutumia mikono..

Mnyika, anafaa sana yupo makini sijawahi kumuona kwenye maandamano yasio kuwa na tija kwa taifa
 
Ni kweli Mkuu JG sisi ni makondoo lakini dalili za hapa na pale zimeanza kujionyesha kwamba taratibu katika baadhi ya mikoa wanaanza kuuweka pembeni ukondoo wetu, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kweli basi mimi naamini kabisa hali hii ya kuuvua ukondoo wetu itasambaa katika mikoa mingine na hatimaye Watanzania nchi nzima kuamua kuuvua ukondoo na hapo ndipo utaona nguvu ya umma ilivyo kubwa kuliko hata nguvu ya dola. Hali hii inaweza isitokee kesho wala kesho kutwa lakini katika miaka michache ijayo naamini kabisa hili litatokea.

Si kweli ni kwamba watanzania ni makondoo, suala la msingi katika nchi ya wabangaizaji ni vitu kama rushwa, utapeli na namna za mbinu zingine za kuishi ambazo zinawafanya wengine wakwepe hali halisia ya maisha.

Maliza rushwa, utapeli, deal za makazini halafu watanzania waanze kuishi kwa mishahara halisia. Ndipo hapo utakapo weza pima kama kweli watanzania ni makondoo. Wengi hawafuatilii siasa kwa sababu vitumbua vyao haviwekewi michanga. Si ajabu chadema imeweza wabeza walalahoi wengi kwakua ndio wengi wenye hali ngumu.

Back to the topic mbinu za chadema kwa sasa ingawa sikubaliani nazo hila ndizo zilizo effective kwenye siasa za Tanzania ambapo economical explanation is not needed or well understood by many, that is to say 'Mnyika' is not the right person for the post at the moment.
 
Dogo anazo quality, busara, hekima, subira na weledi.
Age wise anafaa zaidi sasa, manake hata nyerere performance yake nzuri ni wakati alipokuwa kijana na wazee walijitoa muhanga kumuamini.
Sasa hivi ngumu sana na technical know who ndio inaamua nani awe kiongozi
 
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..

zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75 percent ya watanzania umri ni below 35
na ukichukua below 40 unaweza kukuta ni almost 65-80 percent....
mwenye accurate data
tafadhali aweke hapa.......
......................................................

Nime-like uchambuzi wako ingawa sikubaini nao moja kwa moja.

Kitu kimoja amabcho nimeona hata hao tunaowaita wabunge vijana once wakiwa wabunge basi wanakuwa wabunge tena waheshimiwa (wana act na wanataka waheshimike kama wazeee) i dont see any connection ya so called wabunge vijana na vijana na makaundi mbali mbali ya jamii. kwa nini hatuoni enegry ya wabunge vijana kwenye michezo, teknolojia, sayansi, elimu. ajira, etc Yaani ni siasa tu.
 
Ok,
Rudi kwenye original post uondoe hilo la uchagga na hiyo reputation,then tuendelee na zilizobaki.

Huwezi kuondoa uchagga tuwe wakweli tu uchangga ndio unaitafuna chadema..

Wewe ni meku lazima utete ili
 
Huwezi kuondoa uchagga tuwe wakweli tu uchangga ndio unaitafuna chadema..

Wewe ni meku lazima utete ili
Mkuu labda na mimi ungenisaidia kidogo kuna kitu bado kinanisumbuwa kichwani nashindwa kukielewa sawasawa, hivi wale wazee wa ccm wa DSM aliokuwa anawahutubia jana JK zile barakashia ni sare za wazee wa ccm au ndio wazee misikitini ndio wazee wa CCM?
 
Mnyika yuko makini sana bungeni. Ila chama kinachokua kwa kasi kama CDM kinahitaji uongozi makini na wa 'kibabe' kama wa Mbowe na Slaa
 
Hivi mbowe akienda Ujerumani au Uingereza kwa wahisani wao uwa anaongea lugha gani?

Kingereza hajui au anaongea ile lugha ya viziwi kwa kutumia mikono..

Mnyika, anafaa sana yupo makini sijawahi kumuona kwenye maandamano yasio kuwa na tija kwa taifa
Vip mkuu?habar ya toka jana nlikuona kwa mkulu unasubir ubwabwa..
 
boss... i dont remember disagreeing with you lakini nadhani bado hatujajua fitna za siasa
 
Mkuu labda na mimi ungenisaidia kidogo kuna kitu bado kinanisumbuwa kichwani nashindwa kukielewa sawasawa, hivi wale wazee wa ccm wa DSM aliokuwa anawahutubia jana JK zile barakashia ni sare za wazee wa ccm au ndio wazee misikitini ndio wazee wa CCM?

Mimi sijui chochote kwanza sipo Dar halafu mimi ni Pagani mambo hayo ni yenu..

Halafu na mimi nisaidie mkuu wangu juzi ulisema ulikuwa uingereza..

Kuna mtu kaniambia alikuona pale London kwenye ofisi za Conservative ukibadilishana mawazo na David Cameroon..

Hongera sana kwa safari yako ya uingereza!
 
Huwezi kuondoa uchagga tuwe wakweli tu uchangga ndio unaitafuna chadema..

Wewe ni meku lazima utete ili
Hujasoma bandiko langu liliopita wewe na hiyo avatar yako sawa sawa tu maana mzito mno wa kufikiri.

Inatia uvivu kujaribu kukuelewesha maana hamna pa kuanzia,labda nimwachie Matola kwasababu naona kama anatumia mifano ambayo itakuelewesha.
 
Naona sasa waitwe wazee wa ubwabwa na sio wazee wa DSM. Angalia mujahidina watupu.

Chama chochote kikiita wazee wa Dar es Salaam atakutana na wazee wetu wenye kuvaa nguo za paradise..lol

Dar is for Islam, wakristo ni wakuja
 
nimesema kuhusu 'connection' na age ya wapiga kura wengi
na mengine mengi tu.....
he is better kulinganisha na Mbowe na SLAA...
KWA MAONI YANGU...
kwani umma unapiga kura kutokana na chama kuwa na mwenyekiti anaefaa either by his age or! hoja kuwa na mwenyekiti kijana kuwa ataongezaa mvuto basi Dr.Slaa asingepata kura zote hizo mwaka jana... kalale ukuamka uje na hoja ya msingi hata Mnyika mwenyewe navyomfaham atakata... kawa mbunge mwaka mmoja tu!
 
Back
Top Bottom