Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,297
- 92,381
Nakubali kutokukubaliana na wewe.kweli kabisa lakini wana uhuru wa kutokufanya pia...
sawa???
Nakubali kutokukubaliana na wewe.kweli kabisa lakini wana uhuru wa kutokufanya pia...
sawa???
Unamtafutia bifu la kufa mtu mwenzako mkuu..
Mbowe atafanya kazi gani zaidi ya kuwa chairperson??
Hakuna sehemu niliyosema ku 'compromise ' ni kuwa double agent..
ku 'compromise ni mfano wa Zitto ambae
jimbo lake 'vitu kama barabara na shule'
vimepatikana wakati ni serikali ya ccm 'imewezesha'
na yeye alikiri na kukataa kushiriki kutoka nje wakati Kikwete anahutubia bunge...
na sasa anaonekana ni 'msaliti'...
huwezi kuwa mpinzani 'ukawajengea barabara jimboni mwako'
lazima uka 'lobby' na ku 'lobby ni ku 'compromise'
elewa siasa inavyochezwa...
mkuu kwenye politics
'image na reputation' ni kila kitu..
ishu sio ukweli,ishu ni nini watu wanaamini kuwa ni 'ukweli'
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..
zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75 percent ya watanzania umri ni below 35
na ukichukua below 40 unaweza kukuta ni almost 65-80 percent....
mwenye accurate data
tafadhali aweke hapa.......
sasa basi mimi kwa maoni yangu naona viongozi kama Zitto,Mnyika,January,Kafulila na wengineo vijana
angalau wana 'advantage' ya kuwa connected na masula hasa ambayo viongozi
kama Kikwete na wazee wenzake wengi hawaelewi kabisa...
kuna a 'A BIG DISCONNECTION' kati ya wananchi na wazee kwa hakika...
Mimi ningependa Zitto awe mwenyekiti CHADEMA....lakini
ameshaanza kuwa 'na wapinzani wengi' ndani ya CHADEMA itakuwa ngumu kwake kupata
Uenyekiti au 'legitimacy' inayohitajika pengine kwa sasa....
sasa nilipomuangalia John Mnyika jinsi alivyoendesha kampeni ya ubungo
bila 'kumjeruhi' Julius Mtatiro na jinsi 'anavyo perfom bungeni now'
pamoja na kutomkubali huko nyuma,ameni convince now kuwa 'he is a better leader'
kulinganisha na wengine ndani ya CHADEMA....
1.Sifa ya kwanza ni 'uniter'..ataweza kuunganisha CHADEMA na vyama vingine.
2.Sifa ya pili anapenda 'dialogue' kuliko 'maandamo'....
3.Sifa ya tatu ambayo mimi naona ni muhimu mno now ni age...
ata 'connect' na wananchi ambao wengi ni vijana
yuko engaging na watu....
4.hana 'political garbage' ya aina yeyote for now...haitaji kulipa fadhila kwa yeyote
yuko free kufanya maamuzi kwa jinsi anavyoona,ana uwezo wa kuwa 'ndependent'
kimawazo...
na sifa zingine nyingi kumlinganisha na wengine......
now its time,tukisubiri 'azeeke' atakuwa 'corrupt' na mazoea na culture za siasa za makundi
Chadema wafanye kama DEMOCRATS walivyofanya kwa OBAMA....
mimi nafikiri its time Mnyika awe Mwenyekiti,CHADEMA itawasaidia
1.hoja ya uchagga na ukaskazini
2.hoja ya chama cha familia...
na hoja zingine...nyiingi....Urais anaweza kugombea SLAA au yeyote but Mnyika awe Mwenyekiti....
Inaonyesha Mbowe anawanyima usingizi ndugu zetu wa magamba!
Mkuu BAK,hawa watu wanaoihusisha chadema na uchagga hawawafahamu uchagaa ndo shida.Ahsante sana Mkuu. Mie nawahusudu sana Wachagga na nina bahati kubwa sana ya kuelewana nao kupita kiasi, labda nina damu yao kiasi hahahaha lol!
Soma bandiko langu nililomjibu BAK,halafu assume nimelielekeza kwako.mkuu kwenye politics
'image na reputation' ni kila kitu..
ishu sio ukweli,ishu ni nini watu wanaamini kuwa ni 'ukweli'
Baadaye mtatuletea hata matatizo ya chumbani kwenu kwamba mbunge ameshindwa kushughulikia.Halafu Mnyika si mbunge wa Ubungo huyu? Sasa vipi kuhusu ile stendi ya mabasi ya kwenda mkoa....mbona kila kitu pale shaghalabaghala?
Sikubaliani na misimamo ya namna hii, yaani mtu akiwa na mtazamo tofauti na wa kwako ndio amekuwa CCM? huu ni ujinga uliopindukia.Hapana! haitawasaidia CDM bali itakusaidia wewe, mmeo na magamba wenzako
Soma bandiko langu nililomjibu BAK,halafu assue nimelielekeza kwako.
Nili avoid duplications...Hiyo image na reputation ni a distorted one!
Anataka mume, kama bado hujaoa mtokee umwage sera zako, umri wake anahitaji kuwa na mume na apate mtoto.Halima Mdee kapotea sana siku hizi.
actually sijasema image na reputation ni real...
hata kama ni 'distorted one'
je haina damage?????
Mkuu BAK,hawa watu wanaoihusisha chadema na uchagga hawawafahamu uchagaa ndo shida.
Na hakuna mtu anayejisumbuwa kuwaelewesha,hata huyo Mnyika mwenyewe hstoria ya wachagga aliyonayo ni welll distorted,kulishakuwa na mjadala kama huo miaka ya nyuma na nilishangazwa sana na ukosefu wake wa busara.
Mkoa wa Kilimanjaro,chadema ina inlfuence kamailivyo kwa mikoa mingine tofauti na Kililimanjaro.
Mji wa moshi umeshikiliwa na chadema kwa muda through Ndesamburo,lakini hilo ni jimbo moja tu la Mkoa wa Kilimnjaro.
Kuna jimbo linaloshikiliwa na TLP through Mrema,kuna jimbo limeshikiliwa na ccm mika nenda rudi,jimbo la Rombo chini ya Mramba,kuna linaloshikiliwa na Chami wa ccm.
Sasa unapozungumiza uchagga,unazungumzia mkoa wa Kilimanjaro,sasa hapo kuna uchagga na uchadema kweli?
Kama kuna uchagga uko chadema,ni lazima wawe specific kuwa ni uchagga wa wapi,kwani hawatambui kuwa hata wachagga nao ni tofauti?
Kwasababu kama chadema kingekuwa chama cha wachagga,then ni kwanini warombo ama moshi vijijini ama vunjo hawakukichaguwa?
Watumie akili na waisome historia ya nchi yetu vyema na si ku spread chuki tu.
Inategemea BOSS jinsi wapiga kura wanavyodhani/wanavyotaka. Unakumbuka ya Bill Clinton baada ya scandal ya Monica Lewinsky? hakuna aliyedhania kama angeshinda awamu ya pili...Pia nadhani unakumbuka mambo ya 'Bama walipokuwa wanasema, "America is not ready for a Black President." lakini wapiga kura wakafanya vitu vyao ambavyo hata Mapundits waliobobea hawakuvitegemea kabisa.
watanzania bado sana aisee
kama kuna mtu better na clean ni bora aisee
Hata wao (Waarabu) walikuwa Kondoo ndio maana yule fisadi Mubarak aliweza kukaa madarakani zaidi ya miaka 30 na chaguzi za kishkaji huku akiendelea kukwapua mabilioni ya dollars za misaada toka US. Watu wakisema sasa basi liwalo na liwe basi hakuna wa kuwazuia. Kama walivyoweza Wamisri na Watanzania pia tunaweza kabisa...YES WE CAN!!!
Kwahiyo damage ya a distorted reputation ndiyo iwape chadema Mnyika?actually sijasema image na reputation ni real...
hata kama ni 'distorted one'
je haina damage?????