John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

Yanahamasisha

Yanashinikiza,

Yanaibua yaliyojificha na kuyaweka wazi kwa dunia nzima kuyaona.

Kwani sera ya maandamano ni ya Mbowe au ya watu wote wanaotaka mabadiliko? Mbona sijasikia aanzishe maandamano kwenye jimbo lake la HAI badala yake anawasakizia kina LEMA tu?
 
And your point is...?

user-online.png
FLY

Today 18:17
#26
Senior Member Array

Join Date : 6th June 2011
Posts : 103
Rep Power : 21
 
Kwani sera ya maandamano ni ya Mbowe au ya watu wote wanaotaka mabadiliko? Mbona sijasikia aanzishe maandamano kwenye jimbo lake la HAI badala yake anawasakizia kina LEMA tu?

Mimi siyo Mbowe. Mimi ni FLY. Maswali yako muulize yeye.
 
Siasa si dialogue pekee.

nafahamu but kiongozi
kwanza awe na pesonal qualities....

na wewe mwenyewe umesema 'ana uwezo wa kujieleza better 'kulinganisha na wengine..
 
Tena mara nyingi sana tumeona karibu duniani kote 'political dialogue' zikitanguliwa na maandamano na aina zingine za mass uprisings.

Na kwa Tanzania hali ni hiyo hiyo. Hata hayo mabadiliko madogo yaliyopatikana yametokana na maandamano kabla ya dialogues

Mfano mwepesi ni Zanzibar na serikali yao ya Umoja wa Kitaifa
 
wakati sahihi ni upi?

Akishapata mafanikio 10 au zaidi ndani ya CDM ambayo anaweza kusimama popote pale na kuyapigia debe mafanikio hayo na Wanachadema wakakubaliana naye kwamba kweli amepata mafanikio makubwa na pia kukiinua chama katika kona mbali mbali za Tanzania na hivyo kustahili kukabidhiwa mikoba ya uenyekiti.
 
Na kwa Tanzania hali ni hiyo hiyo. Hata hayo mabadiliko madogo yaliyopatikana yametokana na maandamano kabla ya dialogues

Mfano mwepesi ni Zanzibar na serikali yao ya Umoja wa Kitaifa

maandamano sio kila kitu
unahitaji a 'leader'
kuongoza watu na sio wahamasishaji wa maandamano...
 
nafahamu but kiongozi
kwanza awe na pesonal qualities....

na wewe mwenyewe umesema 'ana uwezo wa kujieleza better 'kulinganisha na wengine..

Kuwa msemaji mzuri sio sifa ya msingi ya kiongozi bora.

Hatuwezi kuipa nguvu za kipee sifa hiyo moja hasa ukizingatia kuna suala la "kumlinganisha na nani" linahusika.
 
Akishapata mafanikio 10 au zaidi ndani ya CDM ambayo anaweza kusimama popote pale na kuyapigia debe mafanikio hayo na Wanachadema wakakubaliana naye kwamba kweli amepata mafanikio makubwa na pia kukiinua chama katika kona mbali mbali za Tanzania na hivyo kustahili kukabidhiwa mikoba ya uenyekiti.

hivi mbunge wa upinzani anaweza kupata mafanikio kama yapi?
mfano labda?

mtazame Zitto 'mafanikio' ya jimboni kwake
yamemfanya somehow 'a compromise' na CCM...
na imesababisha aonekane 'msaliti' kwa wengine
Mnyika ili alete mafanikio ya kweli ubungo lazima
a 'cmpromise' na serikali' na itam cost kisiasa..
 
maandamano sio kila kitu
unahitaji a 'leader'
kuongoza watu na sio wahamasishaji wa maandamano...

Wakati mwengine wahamasishaji maandamano ndicho pekee kinachohitajika (Tunisia)
 
Tena mara nyingi sana tumeona karibu duniani kote 'political dialogue' zikitanguliwa na maandamano na aina zingine za mass uprisings.

Kwa siasa za Tz ambazo zimetawaliwa na migawanyiko hata ndani ya upinzani wenyewe ni ndoto kufikiri kuwa maandamano ndiyo njia pekee ya kuleta mabadiliko. Mapinduzi ya kweli huletwa kwa nguvu ya pamoja ya vyama vya upinzani, vyama vya wafanyakazi, mashirika binafsi, NGOs nk. Kwa sera za Mbowe za kuandamanisha wamachinga nadhani ataandamana hadi mwaka 2050 kabla ya kuona mafanikio. Na ni jana tu Rais amepigia msumari wa mwisho kuhusu katiba mpya.
 
hivi mbunge wa upinzani anaweza kupata mafanikio kama yapi?
mfano labda?

mtazame Zitto 'mafanikio' ya jimboni kwake
yamemfanya somehow 'a compromise' na CCM...
na imesababisha aonekane 'msaliti' kwa wengine
Mnyika ili alete mafanikio ya kweli ubungo lazima
a 'cmpromise' na serikali' na itam cost kisiasa..

Mfano mmojawapo ni kusafiri nchi nzima mpaka vijijini ili kuongeza idadi ya Wanachadema hasa vijana ili ifikapo 2015 ongezeko la Wanachadema liwe ni mara mbili au hata zaidi ya idadi iliyopo sasa. Hivyo akisimama kujipiga kifua kwamba juhudi zake zimeongeza idadi ya Wanachama kwa kiwango kikubwa basi hakuna wa kumpinga. Huu ni mfano mmoja tu.
 
Kuwa msemaji mzuri sio sifa ya msingi ya kiongozi bora.

Hatuwezi kuipa nguvu za kipee sifa hiyo moja hasa ukizingatia kuna suala la "kumlinganisha na nani" linahusika.

haswaaaa ulipokuja wewe ndipo nilipo pataka
mimi nimemfananisha na wengine CHADEMA nimemuona yeye zaidi
tazama
1Zitto -yuko 'tarnished' na makundi ya CHADEMA
2.Mbowe- the same,background yake 'haiko convincing,hana kipya..
3. Slaa- yuko tarnished kwa waislam,na skendo ya ndoa yake..
4.Lissu- yuko so 'mwanaharakati' kuliko kuwa mwanasiasa...ana ugomvi na CUF na NCCR tayari
hawezi ku UNITE
5..Mdee- hayuko on her own ki chama,anaeegemea kundi..fulani

umeonaaa??????
 
I would give it only 5 more years apate political experience and make a daring suggestion kuwa agombee urais. he is bold enough for me, na akiahidi jambo analifuatilia, analitenda na muhimu zaidi anatoa feedback!
Nadhani anafaa zaidi kwenye nafasi ya katibu, yaani awe mtendaji. naamini kuwa nafasi ya mwenyekiti inahitaji politician and mnyika is not a politician
 
hivi mbunge wa upinzani anaweza kupata mafanikio kama yapi?
mfano labda?

mtazame Zitto 'mafanikio' ya jimboni kwake
yamemfanya somehow 'a compromise' na CCM...
na imesababisha aonekane 'msaliti' kwa wengine
Mnyika ili alete mafanikio ya kweli ubungo lazima
a 'cmpromise' na serikali' na itam cost kisiasa..

Boss nakushauri urudi kwenye jukwaa lako la MMU,hakuna jimbo lenye maendeleo Tanzania hii linaloongozwa na upinzani kama jimbo la Karatu, je Dr Slaa kilimcost kitu gani kuleta maendeleo yale Karatu?
Zitto ni Double Agent, Period.
 
Mhhhhh!....Weye Matola kumbe mchokozi eeh!? Mwache BOSS ajadili kipande hii.

Wakati mwengine wahamasishaji maandamano ndicho pekee kinachohitajika (Tunisia)

Gaijin
Tunisia na Tanzania kuna fanana???

Tunisia waliwahi hata kuwa na uchaguzi?
na maandamano ya Tunisia ni ya wananchi na sio chama cha siasa

na hakuna uhakika wamefanikiwa

usually 'mapinduzi' huleta 'ma dkteta wapya' tu...lets wait and see..
 
Back
Top Bottom