Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,746
- 46,268
Unanaona sasa! Ni vigumu mno kutofautisha Kanisa na Chadema..pamoja na Uchagga
Wachagga wa Vunjo waliomchagua Mrema ni chadema?Unanaona sasa! Ni vigumu mno kutofautisha Kanisa na Chadema..pamoja na Uchagga
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..
zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75 percent ya watanzania umri ni below 35
na ukichukua below 40 unaweza kukuta ni almost 65-80 percent....
mwenye accurate data
tafadhali aweke hapa.......
sasa basi mimi kwa maoni yangu naona viongozi kama Zitto,Mnyika,January,Kafulila na wengineo vijana
angalau wana 'advantage' ya kuwa connected na masula hasa ambayo viongozi
kama Kikwete na wazee wenzake wengi hawaelewi kabisa...
kuna a 'A BIG DISCONNECTION' kati ya wananchi na wazee kwa hakika...
Mimi ningependa Zitto awe mwenyekiti CHADEMA....lakini
ameshaanza kuwa 'na wapinzani wengi' ndani ya CHADEMA itakuwa ngumu kwake kupata
Uenyekiti au 'legitimacy' inayohitajika pengine kwa sasa....
sasa nilipomuangalia John Mnyika jinsi alivyoendesha kampeni ya ubungo
bila 'kumjeruhi' Julius Mtatiro na jinsi 'anavyo perfom bungeni now'
pamoja na kutomkubali huko nyuma,ameni convince now kuwa 'he is a better leader'
kulinganisha na wengine ndani ya CHADEMA....
1.Sifa ya kwanza ni 'uniter'..ataweza kuunganisha CHADEMA na vyama vingine.
2.Sifa ya pili anapenda 'dialogue' kuliko 'maandamo'....
3.Sifa ya tatu ambayo mimi naona ni muhimu mno now ni age...
ata 'connect' na wananchi ambao wengi ni vijana
yuko engaging na watu....
4.hana 'political garbage' ya aina yeyote for now...haitaji kulipa fadhila kwa yeyote
yuko free kufanya maamuzi kwa jinsi anavyoona,ana uwezo wa kuwa 'ndependent'
kimawazo...
na sifa zingine nyingi kumlinganisha na wengine......
now its time,tukisubiri 'azeeke' atakuwa 'corrupt' na mazoea na culture za siasa za makundi
Chadema wafanye kama DEMOCRATS walivyofanya kwa OBAMA....
mimi nafikiri its time Mnyika awe Mwenyekiti,CHADEMA itawasaidia
1.hoja ya uchagga na ukaskazini
2.hoja ya chama cha familia...
na hoja zingine...nyiingi....Urais anaweza kugombea SLAA au yeyote but Mnyika awe Mwenyekiti....
Wachagga wa Vunjo waliomchagua Mrema ni chadema?
Wachagga wa Moshi vijijini waliomchagua Chami ni wa chadema?
Wachagga wa Rombo waliomchagua Mramba,na Kimaro ni wa chadema?Mwanri na wengine wengi tu ni wa chadema?
Umeoza kabisa ubongo wewe!
Mimi ni mchgga na mimi si chadema,nimekuuliza maswali,yajibu acha kutumia tope.Narudia tena uwezi kutofautisha Kanisa na Chadema pamoja na Wachagga!
Unafikiria kwa kutumia ubwabwa uliopata janaNarudia tena uwezi kutofautisha Kanisa na Chadema pamoja na Wachagga!
Mimi ni mchgga na mimi si chadema,nimekuuliza maswali,yajibu acha kutumia tope.
Its widely believed that Mbowe has already proved failure in his position as party's head which thing necessisates his replacement. His mechanisms appear to be entirely antiquated and so antedivulian that can't wait to be substituted by innovative ones. He should himself see the signs of time and volitionally judge to hand over the duties to a fresh blood in order to spell him.
Mimi siyo chademaHa! Ha! Ha! Ha! Hayo maneno kamwambie mtoto mchanga!
Wewe siku ile Chadema wamejikusanya pale viwanja vya unga limited si ulikuwa unamwaga pumba zako humu JF..
Leo ndio Chadema wanaweka historia ya mapinduzi kama Libya..
Nikakuambia usiote ndoto za mchana, hata siku moja duniani hakuna chama cha siasa kinachoweza kufanya mapinduzi..
Mapinduzi yanafanywa na wananchi wenyewe wakiamua mifano tumeona Tunisia, Misri, Yemeni, Syria..
Chadema hawezi kufanya mapinduzi hawana ushawishi ni kikundi cha Wachagga tu..
Huwezi kuchukuwa dola na wabunge 23
Ukifuatilia matatizo meengi ya nchi hii
utakuta tatizo la 'age gap' kati ya viongozi wanaotawala na wananchi..
zaidi ya nusu ya watanzania ni 'below 30 years old...inasemekana almost 60
au 75 percent ya watanzania umri ni below 35
na ukichukua below 40 unaweza kukuta ni almost 65-80 percent....
mwenye accurate data
tafadhali aweke hapa.......
sasa basi mimi kwa maoni yangu naona viongozi kama Zitto,Mnyika,January,Kafulila na wengineo vijana
angalau wana 'advantage' ya kuwa connected na masula hasa ambayo viongozi
kama Kikwete na wazee wenzake wengi hawaelewi kabisa...
kuna a 'A BIG DISCONNECTION' kati ya wananchi na wazee kwa hakika...
Mimi ningependa Zitto awe mwenyekiti CHADEMA....lakini
ameshaanza kuwa 'na wapinzani wengi' ndani ya CHADEMA itakuwa ngumu kwake kupata
Uenyekiti au 'legitimacy' inayohitajika pengine kwa sasa....
sasa nilipomuangalia John Mnyika jinsi alivyoendesha kampeni ya ubungo
bila 'kumjeruhi' Julius Mtatiro na jinsi 'anavyo perfom bungeni now'
pamoja na kutomkubali huko nyuma,ameni convince now kuwa 'he is a better leader'
kulinganisha na wengine ndani ya CHADEMA....
1.Sifa ya kwanza ni 'uniter'..ataweza kuunganisha CHADEMA na vyama vingine.
2.Sifa ya pili anapenda 'dialogue' kuliko 'maandamo'....
3.Sifa ya tatu ambayo mimi naona ni muhimu mno now ni age...
ata 'connect' na wananchi ambao wengi ni vijana
yuko engaging na watu....
4.hana 'political garbage' ya aina yeyote for now...haitaji kulipa fadhila kwa yeyote
yuko free kufanya maamuzi kwa jinsi anavyoona,ana uwezo wa kuwa 'ndependent'
kimawazo...
na sifa zingine nyingi kumlinganisha na wengine......
now its time,tukisubiri 'azeeke' atakuwa 'corrupt' na mazoea na culture za siasa za makundi
Chadema wafanye kama DEMOCRATS walivyofanya kwa OBAMA....
mimi nafikiri its time Mnyika awe Mwenyekiti,CHADEMA itawasaidia
1.hoja ya uchagga na ukaskazini
2.hoja ya chama cha familia...
na hoja zingine...nyiingi....Urais anaweza kugombea SLAA au yeyote but Mnyika awe Mwenyekiti....
Mimi siyo chadema
Back to the point,kwahiyo kumbe na wewe unaipenda sana chadema ndo maana unasema Mnyika awe chairman?
Contribute with a purpose and dont purposely contribute.
Baadaye mtatuletea hata matatizo ya chumbani kwenu kwamba mbunge ameshindwa kushughulikia.
Kasafishe masaburi kwanza.Mimi ni Chadema..
Nampenda sana Mnyika tunataka tusafishe Uchagga ndani ya Chadema ndio maana nampenda Mnyika na Zitto
Kasafishe masaburi kwanza.
Wabunge wa upinzani wanaoheshimiwa na ccm kihivyo mimi huwa na wasi wasi nao sana kwasababu ni ma opportunists.
Mimi ningekuwa mbunge halafu nikasapotiwa na watu kama nyie nitajiuliza whats wrong with me.