John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

katika kupambana huna budi kukubali vyote! napia hata katika familia kila mtu anakuwa na mwanzo na mwisho wake! uenda huu ukawa ndiyo mwisho wa mnyika ndani ya CDM kama wakina Zitto na Slaa ndani ya CDM lakini ikumbukwe kuwa CDM IPO NA ITAENDELEA KUWEPO DAIMA NAPIA WATAKAO ISUKA CDM SI AKINA MBOWE WALA NANI BALI NI WANACHAMA VIA VIONGOZI WENYE NIA YA DHATI YA KUMWONDOA HUYU MKOLONI WA kijani!!
 
Katibu anao uwezo wa kuita press conference akazungumzia hili swala, naona mnataka kuifanya kama issue ya Dr. Slaa na baadaye akaja kuwaumbua
let us wait time will say
 
Mnyika ni kamanda wa Chadema asilia. sio hii chadema chumia tumbo ya sasa.ni zao la Dr Slaa
 
CCM Lumumba mbona mnahangaika Na chadema? Jengeni nchi watanzania wanataka Tanzania iwe kama Dubai kama mlivyowaihidi
 
Umehadiri hoja kwenye mkokoteni. Endeleeni na mradi hewa.
 
hivi tngu amekaa kimya kuna hasara gani cdm imepata? asepe
 
kumbuka unapomnyooshea mwenzako kidole, vinne vinakurudia wewe! Chagadema dhoofu kwishney!
MaCCM na Mashabiki wao wanatamani CDM ife, matokeo yake inazidi kuomarika!!
Pamoja na kuzuia mikutano hata ya chama lakini chama kinajengeka watu wanaona ukweli, huwezi kuwababaisha na mbinu za ulaghai!!
 
Ni waoga sana hawa jamaa... huko wanawapiga vita kuendesha siasa, huko wanapitapita na propaganda kibao mitaani... kisha wanasema upinzani Tanzania ni dhaifu. Sasa unajiuliza: Kama upinzani dhaifu kuhangaika kote huko kwa nini?
 
Ni waoga sana hawa jamaa... huko wanawapiga vita kuendesha siasa, huko wanapitapita na propaganda kibao mitaani... kisha wanasema upinzani Tanzania ni dhaifu. Sasa unajiuliza: Kama upinzani dhaifu kuhangaika kote huko kwa nini?
mtaje anayehangaika
 
Wewe muandishi nadhani una maneno lain kama tishu kwel kwel. Yan kati ya watu wanao ona mbal et wanaxema CDM inapotea???? Nadhani hao watu wana macho uchwara!!! CDM inapeta tu na mtazidi kuumia FISIEM kwa kukosa hoja.
 
Mnyika anajidhalilisha tu luwatumiakia hao Mnyang'au...

Amekuwa mnafki sana,na hii ni aibu kwa kijana wa rika lake kutumika na hao wazee...
Mtamshawishi sana. Lakini yeye siyo mtu wa bk7. Ana akili zake na anajua anachofanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…