what is your stand. ! tell us! dont just mummer without direction kamanda.Ha ha haaaa. You can tell this to the birds. Traitor of the highest degree.
what is your stand. ! tell us! dont just mummer without direction kamanda.Ha ha haaaa. You can tell this to the birds. Traitor of the highest degree.
Mkuu mnyika njaa imempa Aibu keshachukua pesa za CCM sasa anatafakari namna ya kutoroka chadema lakini kaishiwa mbinu na nafsi inamsuta sana ndiyo maana yupo kiinya licha watu kuhoji mengi juu yake.Nampenda Mnyika sana lakini kama anaenda aende kwa amani kabisa
I am not murmuring. I am loud enough.what is your stand. ! tell us! dont just mummer without direction kamanda.
Ukweli ni uonavyo mimi utabaki palepale ndg.yangu hakuna au hatujapata kiongozi wala chama cha Upinzani mwenye Uzalendo wa kweli na anaye jali maslahi ya watanzania kwa dhati ispokuwa wengi wao ni wasakatonge na wanasiasa uchurwa wanaojali maslahi yao na familia zao kwanza.Siasa uchwara headache kufuatilia siasa za upinzani, bora tubaki na chama kimoja. Najivua ukamanda rasmi ujinga huu
hahaha kwa Mnyika mko wepesi sana kuzungumza, lakini mlikaa kimya tulivyovamiwa na kundi la watuhumiwa wa ufisadi wakalambisha baadhi basi ! ngoma ikaendelea. mlivyoambiwa SHUT UP your mouth mlivyokuwa waoga mka Shut up kweliKukaa kimya kwa mnyika ni dalili kuwa keshachukua chake toka kwa madalali wa siasa w! CCM, ambao wapo busy mda wote kuwasaka wanasiasa wenye njaa kisha kupiga cha juu kupitia humohomo huku mwanasiasa akifanya ajuavyo bila kujali wapiga kura wake wataathirika vipi.
Wewe kweli Babeli, huyo Dr wa mihogo mwenyewe yuko wapi? Si ameikimbia nchi? Kila anaeona haridhiki na Sera za chadema milango iko wazi.Mnyika ni kamanda wa Chadema asilia. sio hii chadema chumia tumbo ya sasa.ni zao la Dr Slaa
Thubutu, ajuwe wapi? Mazuzu ya ccm ni kama marobot ukishayaprogram basi wewe kaa na remote control tu.Hivi umeelewa kweli hiyo Lugha?
because you dont wanna let the truth prevail. your high cognitive ability have no and will never have impact on our current economic development. it could have positive impact to you your husband and kids onlyyy.I can't argue with people who have low cognitive ability!!!!!!!
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
we sema milango iko wazi tuu. utabaki pekeyako. dont try this man !Wewe kweli Babeli, ! yo Dr wa mihogo mwenyewe yuko wapi? Si ameikimbia nchi? Kila anaeona haridhiki na Sera za chadema milango iko wazi.
Mbona Mbowe alivyorubuniwa hamzungumziii au hamkusikia wananchi ma wanachama wengi wakilalamika. kama Mbowe alitumia fursa kwa faida anayoijua wache na wengine nao watumie fursa. usitishe watu banaDr Slaa alinunuliwa na kamati ya membe lakini Mnyika sasa kadakwa na madalali wajanja wa CCM akina January na wenzao, mnyika Kwa jinsi alivyokuwa akipenda vyombo vya habari asingeweza kukaa kimya kiasi hicho kama asingekuwa karubuniwa na January.