WANA CCM, mtahangaika sana kuimaliza CDM kwa maneno. Wapo wanaosema sisi wana CDM tusome alama za nyakati, wapo wanaosema ati CDM imekwisha kufa n.k. Sawa tu midomo yenu nyote hailipiwi kodi ,na hakuna mtu anayeweza kuwazuia msifikirie mnayotaka kufikiria. Mnapoteza muda wenu wa kufikiria mambo ya maendeleo yenu na familia zetu, tena watu kama ninyi mmechoka kimaisha! Ikumbukwe kuwa a "person convinced against his/her own will isof the same opinion still". CDM inasonga mbele kiukweli huku kwenye field mpaka vijijini tulipo. Subirini matokeo ya Serikali za Mitaa tuwaoneshe!