gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,583
Tunatishwatishwa mno kwani chama kinamtegemea mtu mmoja mbona zito hayupo na chadema ipo!Dr mihogo! !!!
Tunatishwatishwa mno kwani chama kinamtegemea mtu mmoja mbona zito hayupo na chadema ipo!Dr mihogo! !!!
Ana mbuzi wangapi mkuu nataka nikanunue kwa ajili ya bucha languWasira sasa ni mfugaji wa mbuzi tu bunda
Wachana nao hao ccm njaa,wametuingiza mkenge sasa wanaondoa stress tuTunatishwatishwa mno kwani chama kinamtegemea mtu mmoja mbona zito hayupo na chadema ipo!
Kamulize yeyeAna mbuzi wangapi mkuu nataka nikanunue kwa ajili ya bucha langu
Hivi umeelewa kweli hiyo Lugha?
Haya nenda ukamfulie kombati zakeMnyika ni kamanda wa Chadema asilia. sio hii chadema chumia tumbo ya sasa.ni zao la Dr Slaa
Umehadiri hoja kwenye mkokoteni. Endeleeni na mradi hewa."All is well in Chadema; what has been going on is part of what was dubbed strategy for changes which was initiated by Chadema traitors" JOHN MNYIKA, DIRECTOR OF CHADEMA
"Some analyst have warned that if the turmoil is not handled well, this might well be the beginning of the end of the party"
Source: The Citizen
Magazeti ya kiswahili yakiandika habari kama hii yanabezwa. Ngoja tuone na hapa .
Mnyika yupo sahihi kuwa hali ni shwari ndani ya Chadema? Na siyo kwamba na yeye kakichoka chama?
Walioonya kuhusu mwanzo wa mwisho wa Chadema wapo sahihi? Japo wenye kuona mbali wanaona Chadema imeshakufa, na viongozi pamoja na wanachama hawataki ushauri wa wadau?
Hivi kila anayedai ukweli na uwazi ndani ya Chadema, ni TRAITOR?
MaCCM na Mashabiki wao wanatamani CDM ife, matokeo yake inazidi kuomarika!!kumbuka unapomnyooshea mwenzako kidole, vinne vinakurudia wewe! Chagadema dhoofu kwishney!
mtaje anayehangaikaNi waoga sana hawa jamaa... huko wanawapiga vita kuendesha siasa, huko wanapitapita na propaganda kibao mitaani... kisha wanasema upinzani Tanzania ni dhaifu. Sasa unajiuliza: Kama upinzani dhaifu kuhangaika kote huko kwa nini?
mtaje anayehangaika
Mtamshawishi sana. Lakini yeye siyo mtu wa bk7. Ana akili zake na anajua anachofanya.Mnyika anajidhalilisha tu luwatumiakia hao Mnyang'au...
Amekuwa mnafki sana,na hii ni aibu kwa kijana wa rika lake kutumika na hao wazee...