John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

Wewe muandishi nadhani una maneno lain kama tishu kwel kwel. Yan kati ya watu wanao ona mbal et wanaxema CDM inapotea???? Nadhani hao watu wana macho uchwara!!! CDM inapeta tu na mtazidi kuumia FISIEM kwa kukosa hoja.
haifai kujipa moyo hivi wakati kuna tatizo. hivi hivi wakati wa kuondoka kwa Dr Slaa kulikuwa na kufichaficha kwiiiingi kulikokuwa kunafanywa na makamanda viongozi.sielewi faida ya kuficha ficha mambo. wacheni yaje kama yapi na hii inasaidia kuji shape. haiwezekani unafanya utumbo utegemee asali na maziwa
 
Haya nenda ukamfulie kombati zake
amekwambia ana shida ya kufuliwa kombati.?? wewe ni kati ya wale wasiopenda mabadiliko ya kweli. mnamezeshwa mnameza tu kila kitu bila kufikiri. waacheni watu wakiwa na mawazo mbadala na mapya wayatoe ili kusonga mbele
 
Tumesitisha matamko yoote ya kisiasa hadi 2020
 
Kwa kulazwa serena hoteli hakuwa na tofauti n, mtu wa bk7. Malipo dhalimu kama yalivyo ya bk7
issue haikuwa amelazwa Serena. issue ilikuwa alikwenda kuzungumzia mustakabali wa nchi tuchague ,tudumbukie gizani kwa kuchagua mafisadi au watu wenye walau maadili na waaminifu wa kweli. wewe hujui malipo dhalimu yalifanywa na watuhumiwa wa ufisadi walivamia ukawa bila hodi. walewale tuliokuwa tukiwasema ni mafisadi. walivyotununua tu tukasema sio mafisadi tena. ajenda ikazikwa kibudu mpaka leo
 
Ha ha haaaa. You can tell this to the birds. Traitor of the highest degree.
 
Chadema ile niliyokuwa naishabikia zaman Siyo hii ya sasa
 
haifai kujipa moyo hivi wakati kuna tatizo. hivi hivi wakati wa kuondoka kwa Dr Slaa kulikuwa na kufichaficha kwiiiingi kulikokuwa kunafanywa na makamanda viongozi.sielewi faida ya kuficha ficha mambo. wacheni yaje kama yapi na hii inasaidia kuji shape. haiwezekani unafanya utumbo utegemee asali na maziwa
I can't argue with people who have low cognitive ability!!!!!!!

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mnyika anajidhalilisha tu luwatumiakia hao Mnyang'au...

Amekuwa mnafki sana,na hii ni aibu kwa kijana wa rika lake kutumika na hao wazee...
Wale waliomrubuni Lipumba na Slaa akatoroka sasa wapo busy kuandaa bajeti ya kumrubuni na tayari wamefanikiwa kwa kiasi fulani
 
hata Dr Slaa hakuwa mtu wa bk7 ana akili zake na alijua alichofanya
Dr Slaa alinunuliwa na kamati ya membe lakini Mnyika sasa kadakwa na madalali wajanja wa CCM akina January na wenzao, mnyika Kwa jinsi alivyokuwa akipenda vyombo vya habari asingeweza kukaa kimya kiasi hicho kama asingekuwa karubuniwa na January.
 
Kukaa kimya kwa mnyika ni dalili kuwa keshachukua chake toka kwa madalali wa siasa wa CCM, ambao wapo busy mda wote kuwasaka wanasiasa wenye njaa kisha kupiga cha juu kupitia humohomo huku mwanasiasa akifanya ajuavyo bila kujali wapiga kura wake wataathirika vipi.
 
Back
Top Bottom