hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.
ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.
Hana Nguvu za kisiasa ndani ya CCM na wala hana sifa zozote kuwapita wenzake ndani ya CCM kama Lowassa, Membe, Sitta, Mwakyembe, Mwandosya, Wassira, mwigulu @Nchimbi.
Ila sifa moja ya kiCCM ya msingi anayo, ambayo ni Ufisadi. Magufuli ni Fisadi mzuri sana.
Lakini pia ni mnafiki mkubwa, kwani ni juzi tu alimkana Sitta na kudai hana mpango wa Urais kabisa!!
nime "HACHA" mkuu.i thank you for the correction.ONE.Hacha uchizi magufuli c muhaya, ni msukuma
Ashiii first lady wenu huyo,
Yaani ukisia watu wanautaka urais roho kwatu unaumia,yaani kwa ----- wako na upumbavu unaonyesha hapa kweli uwe first lady wewe?ntahama nchi kabisa bora nikaishi Somalia kuliko kuishi nchi yenye first lady kilaza kama wewe
ila tuache ushabiki, ccm wakimsimamisha huyu jamaa uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi utakuwa mdogo sana!
Aah wapi!kura yangu bora nimpe hata Mtikila kuliko huyu mzee wa visasi na bomoabomoa!urais ni zaidi ya umaarufu.unaweza kuwa popular lakini usiwe na hekima.huyu anapenda sifa na hivyo kuongozwa na hisia zaidi ya akili.mtu anaambiwa kuwa sheria anayotumia imepitwa na wakati bado anang'ang'ana tu kama si kutafuta sifa huko ni nini!simtaki kabisa huyu!
huyu jamaa anafaa sana kwa hali ilivyo sasa tz,anakubalika sana hasa mikoa ya kanda ya ziwa ambako kuna wapiga kura wengi
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
anakubalika sana huyu, sio watu watu wa ajabu ajabu hao wengine wenye mikashfa mpaka ya kupora wake za watu
unataka rais awe mr zero mbowe? Nchi itakuwa sawa na danguro, itakuwa siyo nchi ya watz wote tena bali ya wachaga,hatuwezi fanya makosa hayo