By mavumbi
Hana haiba, uwezo, msimamo, ujasiri, wala IQ ya kutosha
1. Haiba: Mvuto, bashasha
2. Uwezo: Uthabiti, Ufanisi
3. Ujasiri: Uthubutu, Bila woga
4. I.Q. : Uwezo wa kutambua / kuchambua mambo
Mifano Hai:
Samahani nitumie lugha yetu na ya kigeni:
1. Lacks fluency and application of proper speech iwe Swahili au Kiingereza (yawezekana ni suala la kabila)
2. Wizara anayoiongoza imejaa ufisadi na rushwa ya ajabu (uliza wanaoendesha magari makubwa wakifika vituo vya weigh-bridges)lakini anachofanya ni kukimbizana na miradi ya barabara .
3. Alitumwa na nanin kwenda Kenya kutoa salamu kwenye campaign ya Raila Odinga? Huyu ametuweka mahali pagumu sana na Wakenya ...Kama angekuwa jasiri angemwambia aliyemtuma kule kwamba hakikuwa kitendo muafaka. Haya ..yako wapi?
4. Ameuza nyumba za serikali halafu serikali hiyo hiyo inaingia gharama ya mamailioni ya shilingi kuwaweka watumishi waandamizi nkwenye mahoteli... tena ya kifahari? Hiyo sio questionable IQ?
SEMA... NIONGEZE NYINGINE?
Hana haiba, uwezo, msimamo, ujasiri, wala IQ ya kutoshatoa tafsiri ya hayo uliyotoa hapo juu,uliyosema hayo yote magufuli anayo tena zaidi ya yote.