Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Kama huyu Mbunge miaka 10 hana hata nyumba kwao, ataweza kufungua ofisi? Ni msanii na msaliti na aende zake hahitajiki hata kwao.
Duuu,hiyo ni habari mpya kabisa mkuu
Kama huyu Mbunge miaka 10 hana hata nyumba kwao, ataweza kufungua ofisi? Ni msanii na msaliti na aende zake hahitajiki hata kwao.
Hivi TADEA wapo bara?Atafungua tawi pale maswa
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B: Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?
Hivi TADEA wapo bara?
I can see TADEA na ACT wakianzisha umoja wao kwa ajili ya ku-undermine UKAWA.
Kamnda Mpendazoe yupo CHADEMA na yupo kwenye mchakato wa kutafuta ubunge jimbo la kishapu kupitia CHADEMA.
Hakuna marefu yasio na ncha,siku akiukosa ubunge itakua safi sana.
Mbunge wa Maswa John Shibuda aliyekua CHADEMA amejiunga na Chama cha TADEA na kuwa katibu mkuu wa Chama hicho.
Chanzo: ITV Habari
Sikutaka kuchangia, lakini comment yako imenifanya nijikute nacheka pasipo kutarajia...mara ccm mara chadema mara tadea..
mjulisheni kuna chama kingine kinaitwa CHELSEA,uanachama ni nguvu tu ya kushangilia makombe..
THE BLUES FOREVER..
Mkuu Emmanuel R. Ntobi, hili swali binafsi: Una undugu na Chief Frederick Ntobi wa TCRA?Kamnda Mpendazoe yupo CHADEMA na yupo kwenye mchakato wa kutafuta ubunge jimbo la kishapu kupitia CHADEMA.
Sijui kama atakuja kutulia huyu jamaa!
We mtu wa pwani vipi bwana, ulitaka apishane na kiinua mgongo!? Hata Hamad Rashid nae ni wale wale tu.sasa mbona kachelewa sana. ilikua ajiunge mapema ili aimarishe chama, au lengo lake si uchaguzi wa mwaka huu ?
Kwani ye mwenyewe anategemea kurudi bungeni???kwa ticket ya TADEA???ndoto