lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
Haaahaaa
Avatar yako imenichekesha
Mr padlock na vibaby boy vyake 😀
Haaahaaa
Avatar yako imenichekesha
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B: Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?
Shibuda ana akili nyingi kama za sungura,amegundua kuwa act na misingi yake ya ukabira na udini hapata mfaa na kupata nafasi ya kurudi bungeni,pia masharti ya act mojawapo kabla ya kujiunga act na kupewa uanachama ni lazima ujifunze kiha
Usajili dirisha dogo
hivi kunachama kilikuw kinaitwa tadea kirefu chake ni nini?