John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

niaminivyo mlima kilimanjaro ukiamua kupumua utapumulia popoteee....ukiwa na mwenza na ikafika mahali ramani haisomeki...utapumulia popote...hi ndo tabia ya viumbe hai
 
Alivisema ovyo vyama vya pinzani kuwa ni NGOO na ksiifia ccm, imakuwaje tena agukie pande wa NGOO badala ya krudi CCM?
 
Ha ha ha haaa eti katibu mkuu kiongozi... Lol amekua ombeni sefue? Ayatoullah kaharibu sana watu
 
ahhahahah rest in peace shibwege amesubiri salary ya mwisho ndio ahame mganga njaa mwingine
 
Ila kusema ukweli walinzani hasa Chadema wamekwepa mishale mingi, lakini mbaya zaidi ni hawa vipandikizi.

Watu wanajitoa akili kuua upinzani ili turudi katika zile siasa zamani. Na jamii nzima tumwlishwa hii sumu ya kuona wapinzani wabaya.

Leo mambo ya EPA,ESCRAW nk tungeyajua wapi. Watu kama hawa akina shibunda kazi yao ni kutembea na kijinga cha moto kuuchoma upinzani.

Wanafanya wasilolijua upinzani umefanya makubwa ikiwa ni pamoja na kupanua uelewa wa watu.
 
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.

N.B: Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?


Kabla ya uchaguzi mkuu ,atakuwa tayari ameshahamia ACT
 
Back
Top Bottom