Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Leo ITV imeripoti kuwa John Shibuda amekimbia rasmi Chadema na kuhamia TADEA na ameukwaa Ukatibu Mkuu
Chanzo: ITV
Mkuu mbona shibuda alishahama kitambo toka cdm?
Leo ITV imeripoti kuwa John Shibuda amekimbia rasmi Chadema na kuhamia TADEA na ameukwaa Ukatibu Mkuu
Chanzo: ITV
Taarifa ya habari itv jioni hii imemuonyesha kiongozi wa TADEA akithibitisha kwa shibuda ktk chama chao na kupewa ukatibu wa chama!
Sijui kama atakuja kutulia huyu jamaa!
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B: Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?

Mara hii kashakuwa katibu mkuu........kwa hiyo safari hii atagombea zanzibar?
sasa mbona kachelewa sana. ilikua ajiunge mapema ili aimarishe chama, au lengo lake si uchaguzi wa mwaka huu ?
Mbona nacheki ITV sijaona hiyo habari!
Wana siasa wa tanzania wanashangaza sana,mbona kuna wakati shibuda alikana kuhusika na tadea kulikoni tena
Wana siasa wa tanzania wanashangaza sana,mbona kuna wakati shibuda alikana kuhusika na tadea kulikoni tena
Unadhani hadi muanzisha thread anaandika yote hayo, habari itakuwa inaendelea kusomwa hiyo hiyo tu? Kama una remote controller hapo, bofya reverse
Huko angekuwa mwanachama wa kawaida tu, ngoja tuone kama ana tija au ni kubomoa zaidi TADEA
Kazi aliyo tumwa na ccm Chadema ilimahinda sasa ndio mqiaho wake kama Zzk. Mungu huwaumbua waovu aaubuhi kweupe
kwahiyo hawa TADEA hawakua na katibu mkuu?au cheo hiki kilikua pending kwa ajili ya huyu shibuda?ngoja tuone kama atatulia huko.
wote hao walikua wanataka vyeo sasa kila mmoja katafuta chama cha kukiongoza .
Aisee hii siasa ndo nini?_huyu shibuda anatufundisha nini???
Unadhani hadi muanzisha thread anaandika yote hayo, habari itakuwa inaendelea kusomwa hiyo hiyo tu? Kama una remote controller hapo, bofya reverse
Atafungua tawi pale maswa