John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

Unaijua kigoma wewe au unasema tuu? Kwa mazoea

...mkuu siasa ya mwaka huu haiko kama zamani, mambo ya ngome au unakubalika wapi hayapo tena,kinachotawala akilini mwa watu ni mabadiliko ndo maana kila mgombea ana capitalize kwenye mlengo huo...
 
Kama kuna watu ambao siwaelewi katika dunia hii ni Shibuda.Wakati mwingine namuona kama hamnazo hivi.Ni character ya ajabu sana.TADEA of all political parties?!Anakwenda huko kufanyanya nini.Vituko.
Mbunge wa Maswa John Shibuda aliyekua CHADEMA amejiunga na Chama cha TADEA na kuwa katibu mkuu wa Chama hicho.

Chanzo: ITV Habari
 
zitto amekwisha,kama alivyo rafiki take shibuda! NA ACT itabaki chama cha briefcase
 
Ikumbukwe kuwa CCM ya Nyerere iliendelea kwa muda mrefu ikiwa inajiamini kuwa imara bila ya uwepo wake.
Lakini sasa kila mtu anaona kule kujiamini kwa viongozi wa CCM na kupuuza misimamo yake ndio kinachoiponza CCM ya sasa.
 
CCM tuambie. Kuhama ukagombea nafasi ya udiwani, ubunge au urais na kuhama ukawa katibu mkuu wa chama au kiongozi mkuu au mwenyekiti wa chama, kipi kinadrain demokrasia zaidi.?
 
Shibuda ndio nan ??
Nimemsahau mwenzenu!!!✌🏿✌🏿✌🏿😍
 
Ikumbukwe kuwa CCM ya Nyerere iliendelea kwa muda mrefu ikiwa inajiamini kuwa imara bila ya uwepo wake.
Lakini sasa kila mtu anaona kule kujiamini kwa viongozi wa CCM na kupuuza misimamo yake ndio kinachoiponza CCM ya sasa.
Mkuu hivi kweli rais wa nchi anasimama na kusema mmiliki wa Richmond ni yule anaye zunguka na Lissu afu anatarajia tushangilie, hivi ccm wanaelewa dhamana waliyo ibeba kweli?. Wakati taifa linamtegemea aliambie kuwa tumemkamata na kumfilisi yeye anamtuma Lisu amtaje.
 
Kachukua fomu ya urasi nasikia.Najiuliza kwa nini hajaunga mkono juhudi?
 
Back
Top Bottom