MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Mbunge wa Maswa John Shibuda aliyekua CHADEMA amejiunga na Chama cha TADEA na kuwa katibu mkuu wa Chama hicho.
Chanzo: ITV Habari
Good riddance, John Iskariot Shibuda!

Du. Ni habari mbaya kwa ZITTO Kabwe maana wale wabunge 50 wanapungua tu ARfi kamtosa na Shibuda naye kamtosa labda makapi ya ccm anayasubiri.
kweli chadema noma,kila anayetoka anakwisha kisiasa..tumemuona slaa,zitto halafu shibuda,shibuda bunge ataliona kwenye TV,maisha yake ya kisiasa yako kwenye lango la kuzimu,hakuna ajuae hata chama aliko,kweli shibuda kwisha,Kwisha kabisa,kifo cha mende,chaliii
Mkuu umemsahau Arfi
...labda sudan ya kusini na sio kigoma...Zitto hajafa kisiasa mkuu subir arud bungeni mtaona na alishashinda kule kigoma anasubir kuapishwaa
...labda sudan ya kusini na sio kigoma...
Zitto is there to stay. acha kuropoka. Octoba mjengoni kama kawa. nani anajua hatima ya chadema/NCCR mageuzi kwenye mkoa wa kigoma na sehemu zinazoizunguka? again, acha kuropoka maana hujui kesho ikoje.kweli CHADEMA, kila anayetoka anakwisha kisiasa, tumemuona Slaa, Zitto halafu Shibuda, Shibuda bunge ataliona kwenye TV,maisha yake ya kisiasa yako kwenye lango la kuzimu, hakuna ajuae hata chama aliko,kweli shibuda kwisha, Kwisha kabisa, kifo cha mende, chali.