John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

Duuh lengo la wanasiasa wote wa hii nchi ni kua Viongozi wa Chama fulani .. wote wasaka nyazfa ... sada sijui ni nani anakubali kuuongozwa .
 
Wana siasa wa tanzania wanashangaza sana,mbona kuna wakati shibuda alikana kuhusika na tadea kulikoni tena
 
Mgombea binafsi anahamia kwenye chama? Mbwembwe zote zile kumbe anakuwa mdogo namna hiyo?
 
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B
Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?
Huko angekuwa mwanachama wa kawaida tu, ngoja tuone kama ana tija au ni kubomoa zaidi TADEA
 
Mbona nacheki ITV sijaona hiyo habari!

Unadhani hadi muanzisha thread anaandika yote hayo, habari itakuwa inaendelea kusomwa hiyo hiyo tu? Kama una remote controller hapo, bofya reverse
 
Kazi aliyo tumwa na ccm Chadema ilimahinda sasa ndio mqiaho wake kama Zzk. Mungu huwaumbua waovu aaubuhi kweupe
 
Salaam Wanajamvi, Yule Mwanasiasa Mtata Mbunge Wa Maswa Magharibi John Magale Shibuda Amehamia Rasmi Tadea Na Kuachana Na Chadema.Amepewa Ukatibu Mkuu Papo Kwa Papo.Source ITV
 
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B
Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?

Kwa hiyo bado 49 siyo!
 
Bw john shibuda mbunge wa zamani wa maswa aliye kihama chama cha CHADEMA amejiunga rasmi na chama cha TADEA na kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa TADEA.
 
Aliekuwa Mbunge wa Chadema John Magale Shibuda amejiiunga na chama cha Tadea na kupewa cheo cha Katibu Mkuu Mtendaji.
N.B
Kwenye ile list ya Zitto ya Wabunge 50 watakao hamia ACT na Shibuda si alikuwepo,sasa imekuwaje hajaenda huko?

wote hao walikua wanataka vyeo sasa kila mmoja katafuta chama cha kukiongoza .
 
kwahiyo hawa TADEA hawakua na katibu mkuu?au cheo hiki kilikua pending kwa ajili ya huyu shibuda?ngoja tuone kama atatulia huko.
 
Back
Top Bottom