John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

Kuna yule mwingine mpendazoe nae alikuwa anahangaika kama shibuda, sijui yuko wapi kwa sasa?
 
Kweli sasa Jf hakuna habari mpya, maana aka ka news ka Shibuda kameonyeshwa ITV. Kwasababu habari moto zimeisha basi kila mtu anakarusha hakohako.
 
Kazi aliyotumwa kuivuruga CHADEMA imemshinda, kajimaliza kisiasa huyu aliyelipwa ujira wa mwiha.
 
Mwenzake alipovuliwa uongozi CHADEMA alitimkia ACT na kuwa kiongozi mkuu wa chama hicho,Shibuda nae katimka CHADEMA kwenda TADEA na kuwa Katibu mkuu wa chama hicho utafikiri ni mapacha wa kiakili wenye shida na madaraka.
 
Mwenzake alipovuliwa uongozi CHADEMA alitimkia ACT na kuwa kiongozi mkuu wa chama hicho,Shibuda nae katimka CHADEMA kwenda TADEA na kuwa Katibu mkuu wa chama hicho utafikiri ni mapacha wa kiakili wenye shida na madaraka.

kuhama chadema ni dhambi.....mbona babu yako slaa alihama ccm kwenda chadema.
 
Hukupenda kuanzisha chama kingine na umeamua kuenda chama kilichopo ilikuepuka kugawa kura za watanzania hongera sana.
 
Hawa si ndo miongoni mwa Wabunge 50 aliokuwa akisema Zitto kwamba watahamia ACT? Sasa imekuwaje tena hajaenda huko? Au hawajakubaliana maslahi..!!!

Maana nyakati za usajiri ndo hizi, Tayari tumeambiwa Machali kaenda huko.

BACK TANGANYIKA
 
Akimaliza kuivuruga TADEA ataenda PPT-Maendeleo
 
hivi kwanini shibuda hajarudi ccm badala yake anataka kujifanya mpinzani ?
 
Kachelewa alikuwa anasubiria kiinuua mgongo huyo si mpinzani wa kweli ni fisadi anayetafuta nafasi huyopia ni mamluki wa ccm kazi yake kuvuruga upinzani na mwishoni atarudi ccm
 
Haya yote ni rahisi kutokea Tanzania tuu... Ambapo mwanasiasa 'mpuuzi' kabisa na bado akapata wafuasi wengi tu!!

Inaweza kutokea Tz tu ambapo chama hichohicho kinaweza kutawala kwa zaidi ya nusu karne kwa uongo uleule na bado kikaendelea kuaminiwa zaidi na zaidi.
Hapa ndipo Tznia ambapo tofauti ya msomi na 'mjinga' ni ndogo mno ukiwaweka pa1 huoni tofauti yao....

Tunaihataji CONSULTANT kwakweli!!!
 
Back
Top Bottom