Mbunge wa maswa John shibuda aliyekua chadema amejiunga na Chama cha TADEA na kuwa katibu mkuu wa Chama hicho.
Chanzo: ITV habari
Kwa hiyo bado 49 siyo!
wote hao walikua wanataka vyeo sasa kila mmoja katafuta chama cha kukiongoza .
kwahiyo hawa TADEA hawakua na katibu mkuu?au cheo hiki kilikua pending kwa ajili ya huyu shibuda?ngoja tuone kama atatulia huko.