waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...
wanachama 8mil iwe ni halisi na wawe wanapiga kura....kama CDM ina wanachama hai 8mil..CCM itakuwa na wanachama wangapi? maana wanufaika wa CCM ni wengi kuliko tunavyofikiri kuanzia huko mashinani mpaka mikoani kwa viongozi na familia zao...kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK...
Sukuma gang naona unajipa faraja baada ya jini lenu kufa na Sasa linabagazwa na mama kwamba lilikuwa fisadikwenye maandamano,kesi ya mbowe wanatokea 10
million 8 lkn wana mbunge mmoja,lissu alipata kura 1.2 millions
Wanachama hao wamepatikana baada ya kampeni ya Chadema digito!kwenye maandamano,kesi ya mbowe wanatokea 10
million 8 lkn wana mbunge mmoja,lissu alipata kura 1.2 millions
HV kweli kwa hela yote hiyo bado mpo ufipa tuu haaa haaa daah Heche bwanaMbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.
Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.
Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Kwani CAG hakagui? Hata PCCB walikagua hawakuona ubadhirifu ila ww layman wa JF ndio una doubt??waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...
CHADEMA ilisimamisha wagombea 95% ya mitaa, vijiji na vitongoji alafu unadhani hakijasambaa kama CCM!!?kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK
Wahuni wa ccm wabishi sana. Wanachama wa CDM sio wachumia tumbo. Michango wanachangia kweli kweli sio masihala.Kwani CAG hakagui? Hata PCCB walikagua hawakuona ubadhirifu ila ww layman wa JF ndio una doubt??
CHADEMA ilisimamisha wagombea 95% ya mitaa, vijiji na vitongoji alafu unadhani hakijasambaa kama CCM!!?
Kwa uchaguzi upi?kwenye maandamano,kesi ya mbowe wanatokea 10
million 8 lkn wana mbunge mmoja,lissu alipata kura 1.2 millions
Hii habari ni tishio kwa wahuniMbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.
Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.
Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
heche atakuwa anamaanisha chadema ina wanachama 8,kwenye maandamano hata `10 hamfikiSukuma gang naona unajipa faraja baada ya jini lenu kufa na Sasa linabagazwa na mama kwamba lilikuwa fisadi
huo huo uliompitisha aida kenan mbunge wa chademaKwa uchaguzi upi?