John Heche atangaza rasmi kugombea jimbo la Tarime

Kama ni kweli:

Duh ndiyo kilichompeleka huko? Alitumia fedha za kwake ama za chama? Muda ambao Bavicha inastahili kuimarishwa ndiyo watu wanaibuka kuangalia ubunge?

Zitto alipotangaza kugombea Urais kulikuwa na kampeni kule arumeru,ilikua imekaa ndivyo sivyo

Huyu anataka kugombea ubunge huku akijua wenzake wanaotaka kugombea jimbo hilo pia wako kwenye Ziara ambayo ni nyeti kabisa na katibu mkuu huko Morogoro.Je wenzake wakiacha ziara na wao wakaenda Tarime kutangaza nia itakuaje?Hii siyo hujuma dhidi ya M4C? Hii imekaa ndivyo sivyo.

Namshauri aimarishe BAVICHA kabla ya uchaguzi wa ndani ya chama mwakani.huwezi kugombea Ubunge 2015 na ukategemea kuwakomboa watanzania ambao asilimia kubwa ni vijana huku ukiiacha BAVICHA ikiwa haijasimama vizuri

BAVICHA ni chombo nyeti kabisa katika kusukuma harakati za mabadiliko.Tuimarishe BAVICHA kwa maslahi ya vijana wote kabla hatujajifikiria wenyewe na kuchochea mgawanyiko usio wa Lazima kwa muda huu


Mkuu heshima yako.
Hili naona kwa maoni yangu ingekaa vizuri zaidi ingekuwa ktk vikao vya ndani kuliko hapa jamvini.
 
Lets wait, the time is coming where we will understand these values, where we will be able to resolve these issues before justifying our judgements...bt the guy has overpolluted his firm!
 
Ni lazima tufikie hatua turudi mezani tukague faida na hasara.Huwezi kuwa msaliti wa vijana kwa kuingia kwenye narrow interest.Ahadi kuinua BAVICHA na iwe pltaform ya kuwapika vijana wengi kiuongozi haijafikiwa kwa kiwangio sasa,unaibuka kutaka wewe uanze maandalizi ya ubunge na kuwaacha vijana kwenye mtaa?huu ni usaliti.Achia uenyekiti ujiimarishe kama wengine kugombea ubunge ama imarisha BAVICHA kwa muda huu.Nothing more nothing less!
kwenye ziara yoote aliyofanya bwana heche tangu nyanda za juu kusini na ikaripotiwa na media tena za kuaminika km ITV,TZ DAIMA,MWANANCHI, JF NA HATA BLOG ZOTE mbona hatukuona ukitoa comment yoyote? hata walau ya kusema yes! bwana heche amefika same,njombe,iringa,mbeya, tunduma,sumbawanga,mbali na dar moro na ametable makongamano ameonesha njia kwetu sisi tusiokuwa na chuki za kushindwa naye kwenye uchaguzi wa BAVICHA wala tusiokuwa na payroll binafsi kutoka kwa zitto hatuoni shida kusema ukweli SAANANE SIASA SIO SALOON YA KUJICHUBUA USO! WALA SI ENEO LA KUPIKA VIPIMO VYA MAJUNGU! WEKA Ulichowahi KUFANYA WEWE ZAIDI YA HECHE KATIKA SIASA ZA NCHI HII! HUNA HATA RECORD KAZI YAKO NI KUGAWA VIJANA KWA MISINGI YA ZITTO umewahi kuwa hata mwkt wa mtaa ili vijana waige toka kwako? wewe mchange mwampamba msipomtukana heche kwenu maisha hayaendi BE AWARE KAZI YA CHAMA CHA SIASA SIO KUFUNGUA MADUKA YA BIASHARA SINZA AU SALOON! SIO KUKAA KWENYE MITANDAO KUCHAFUA VIONGOZI KWA ID MBALIMBALI HECHE TUNAMUONA KWENYE MAJUKWAA AKIINGIZA WANACHAMA WAPYA KWA MAELFU BWANA HECHE POPOTE ULIPO MUITE HUYU KIJANA KWENYE MKUTANO WAKO ANGALAU TUONE KAMA ATAACHA BIASHARA ZAKE AJE FIELD TUMECHOKA NA MAJUNGU YAKE
 
Back
Top Bottom