TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 581
Huyu jamaa hamna kitu kichwani,kwa tarime anakubalika na mdogo wake chacha kama mnabisha subilini muone 2015.
Kwanza ndie aliyemuhujumu mwikwabe uchaguzi ulipita kisa hakupita yeye kura za maoni,ametumia defence mechanism baada yakusoma alama za nyakati.
Fanyeni tafiti kwa watu wa tarime mtagundua wanamuhitaji mwikwabe.heche angetafuta kata tu aanze kuiandaa lasivyo atapata frastration sana kwani kula na lala yake anategemea chama kwakutumia mwamvuli wa bavicha, na mda wake unaisha mwakani.