Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,474
- Thread starter
- #41
AminaChadema imo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Pamoja na juhudi za yesu FAKE wa chato AKA dikteta za miaka mitano kuisambaratisha Chadema kwa kununua wabunge na madiwani, kuzuia mikutano mara nyingi, kuwashambulia viongozi na wanachama wa Chadema, kuwabambikia kesi FAKE wanachama na viongozi lakini Chadema bado IPO IPO sana tu.
Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na wanachama wake wote pamoja na Viongozi kila kona Nchini 🙏🏽🙏🏽🙏🏽