John Heche asimamia semina elekezi Karatu, ukumbi wazidiwa na umati

Chadema imo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Pamoja na juhudi za yesu FAKE wa chato AKA dikteta za miaka mitano kuisambaratisha Chadema kwa kununua wabunge na madiwani, kuzuia mikutano mara nyingi, kuwashambulia viongozi na wanachama wa Chadema, kuwabambikia kesi FAKE wanachama na viongozi lakini Chadema bado IPO IPO sana tu.

Mwenyezi Mungu ibariki Chadema na wanachama wake wote pamoja na Viongozi kila kona Nchini 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amina
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Binafsi tu naomba siro na vijana wake watulie, waachie wanasiasa watifuane wenyewe, wao walinde usalama Wa RAIA na Mali zao basi.
 
Back
Top Bottom