establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,641
- 2,471
Watu hawakomi
Wakishavaa hearphone masikioni hawasikii hata horn za tahadhari
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huko Mwanza 10 wamepoteza maisha kizembe barabaran. Ni masikitikoWakianza na kuimba nyimbo zao wanakua kama wehu vile waliokosa uelekeo
wanakimbia barabarani kujionesha km ubishoo flani hv na vispika masikioni.. viwanja va wazi vipo waende huko!