Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Sahihi sasa conclusion ya suicide hua haiji tu yani hapo ni akili yote ndo imemuonesha hio ndo njia rahisi ambayo ana uhakika atakufa
Ameenda asubui ili iwe ngumu hata kupewa msaada ikitokea hajafa

Na mara zote watu wa ivo unakuta alipanda ghorofa 7 akaona hapo anaweza akapona
Anapanda mpaka anapoona hapa lazima nife then anajirusha
 
Kuna watu wana acrophobia, hawa hupata kiwewe sana wakiwa maghorofani huko.

Labda jamaa alikua mmoja wao
 
Mwisho wa siku njia rahisi za watu kufa zitiliwe mkazo, ila kabla ya hilo washauri wa afya ya akili wawe wengi pia.

Sasa mtu anajitupa ghorofani na kuzua taharuki namna hii maana yake nini hapo.
 
Naomba kueleweshwa daktari wa Membe amekanwa vipi?
 
Tunaposema depression is real mnadhani masikhara? Guys depression isikieni hivyo hivyo na kuhusu kwanini alijirusha ghorofani kwa mawazo yake yalipofikia aliona bora ajirushe ili afe haraka, kuna wengine huendesha gari mwendokasi kisha kujirusha na mbaya zaidi vifo vya watu wenye depression hua hawaachi ujumbe ila historia yake inaweza kuconnect dot kama hujui historia ya marehemu namna alivyo struggle ku fight hiyo depression mnaweza kusema mengi,

Depression ni kama jinamizi kwa imani za kiafrika, ila uhalisia ni tatizo la Afya ya Akili na likiwa sugu mwisho wake hua ni kifo tu.
 
Inakuwaje mtu anaamini akipata pesa na mali atakuwa na furaha maishani. Ila akipata still bado anahisi bado furaha haijatimia maishani mwake .. [emoji848]au ndio tuseme kila kitu ni ubatili Chini ya jua kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
 
Polisi wetu wanaweza kutoa taarifa hata kabla ya tukio mmh

Yaani wamefikia muafaka wa haraka kwa kuangalia tu cctv na kusema kwa uhakika kabisa kuwa kajirusha kwa makusudi

Je hiyo camera ipo ndani ya chumba ikiangalia dirisha? Au ni jengo la pili camera zake ndio zimeona wala hatujui


Yaani akifa wanaamua wao alikufaje
Sina Imani nao kabisa kwa majibu yao
Matukio mengi huwa unajiuliza hivi kweli mfungwa anajinyongaje na dekio jela
Huwa nawaza halafu najisemea tu aah si Africa?
 
Unamsikia mtu anasema, nashangaa ananitreat kama mnyama!! Unabaki kushangaa kuwa huyu alitaka atritiwe kama mmea??[emoji16][emoji16][emoji3]
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38]
Ndio misemo yetu bwana acha kabisa
Hivi unaniona hayawani eti [emoji1] [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…