Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,734
- 69,917
😅😅😅😅ChoiceVariable je Biden ni msemaji wa China au ni wewe umegomq kutumia ubongo wako vizuri?
😅😅😅😅ChoiceVariable je Biden ni msemaji wa China au ni wewe umegomq kutumia ubongo wako vizuri?
Hahahah umeniwekea maneno siyo😅😅😅😅
Pipe dreamChina is going down
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.
Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.
Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka
Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.
Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.
Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden
Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.
Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.
My Take
China haiaminiki, siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.
Nimekuuliza kitu kingine umejibu kitu kingine kabisa! Unaonekana wewe ni wale wamarekani wa Nzega wenye mahaba niue na US.Russia, China na India zote zinapinga utawala wa kiislam wa Kigaidi wa ISIS, so sio USA pekee....
Zingatia hindi magaidi wa ISIS walivyobamizwa na Russia miaka michahche iliyopita kutokea Syria na taliban
Sent using Jamii Forums mobile app
Machoko kule wamejitosheleza hawahitaji wengine.USA hawaendagi machoko ,kule hakuna Mitumba 😂😂
Mkuu kuhusu China ulishasema sana humu ndani ila watu wakawa wanakupinga.Dikteta Xi jinpin anawaponza sana watu wa China.
Anawapeleka shimoni kila siku mi nasemaga hapa.
Alileta sera yake ya "return forest to farmland" akihamasisha kilimo kwa kukata miti kila pahala hata mahali pasipofaa matokeo yake juzi beijin na maeneo mbalimbali yamepigwa na mafuriko yaliyotokana na tufani balaa, watu wameripotiwa Kufa cha ajabu CCP haionekani kujali chochote.
Sera za Dikteta Xi zote yaani zote zimegoma na zimekuwa zikiwagharimu watu wachina wasiokuwa na hatia.
Bado sera yake ya "One china" ambayo imelenga kuirudisha Taiwan chini ya utawala wa CCP. Hii sera ndio itaiua kabisa CCP.... yani akijichanganya tu kuivamia Taiwan na CCP ndo inakuwa imekufa. Yaan CCP na Jeshi lake la PLA watapigika kila upande ndani na nje ya China tupo hapa mtakuja kuniambia.
Kuna baadhi ya wachina ni kwa vile hawana silaha lakini ukiwapa silaha wako radhi kupambana na ÇCP na jeshi lake, jambo hili Xi Jinping bado hajalifikiria..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni international forum, zama kule jukwaa la siasa kaanzishe thread.Mnaongelea China.
VIpi kuhusu sisi. Tunajiongeleaje
Na siku mabeberu wasitoe tu uwekezeji hapo China, wakija kuutoa China watatafutana.Viwanda vingi vya mabeberu vipo china sababu ya cheap labor so hata ukienda nunua mzigo china basi Kuna faida pia unampatia beberu.
Sasa hao majirani zake wakiungana si hatari mkuu? Vipi kwanza hao majiran wana long ranges za kutosha?Mkuu nafatilia kwa karibu sana Geopolitics issues migogoro yote ya Asia na Pacific.
China ndio anaeongoza kwa ukorofi kwa mataifa jirani.
Juzi katoka kumuharass Philippine kwa kuipulizia maji yenye presha meli ya kifilipino iliyokuwa inaelekea kwenye eneo lililoko kwenye EEZ yao kisheria ambalo ni eneo Leo.
Bado ana ugomvi na Vietnam, Indonesia, India, Japan Taiwan , at the same time unataka uvutie uwekezaji uchumi wako ukue vitu non sense kabisa.
Wasipochukua hatua ya kumwondoa xi Jinping madarakani uchumi wa China utakufa serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haSasa lini US alikuwa mzalishaji wa yeboyebo na malonyalonya haya mnayoenda kuagiza China.
Uliwahi enda ofisi za Silent Ocean ukalinganisha tofauti ya wanaoenda kuagiza mizigo China, India, Uturuki, Dubai na Marekani walivyo? Wanaoenda China wana maneno balaa mzigo unachelewa siku moja wanalia kama wamekula mtaji.
US Huwa hawaendi mafukara,kule hakuna Mitumba 😂😂Machoko kule wamejitosheleza hawahitaji wengine.
Niko hapa namtengenezea statement ya mchongo anataka ku apply VISA ya US, pia huwa anacheza DV Lottery kila mwaka.Be honest ukipewa uchague pa kwenda kuishi kati ya China na USA, utachagua wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
We uende USA kuchukua bidhaa gani? Unafkiri wanauza midori kule.Sijawahi sikia naenda USA kuchukua mzigo.
Utasikia naenda china Dubai kuchukua mizigo.
Pyeee Biden kumbukumbu huna
Ila machoko wapo mkuu?US Huwa hawaendi mafukara,kule hakuna Mitumba 😂😂
The Boy Wonder una maoni gani mkuu? Si tulikubaliana wanaoathirika ni G7 pekee
Jikite kwenye mada dadaMnaongelea China.
VIpi kuhusu sisi. Tunajiongeleaje
Sababu niSijawahi sikia naenda USA kuchukua mzigo.
Utasikia naenda china Dubai kuchukua mizigo.
Pyeee Biden kumbukumbu huna
Umetumia silaha nzito kumuua mendeUSA hawaendagi machoko ,kule hakuna Mitumba [emoji23][emoji23]
Ila China inalia kutokana na gharama za uendeshaji kupanda, unemployment kubwa kutokana na automation na roboticsViwanda vingi vya mabeberu vipo china sababu ya cheap labor so hata ukienda nunua mzigo china basi Kuna faida pia unampatia beberu.