Joe Biden: China Iko Taabani Kiuchumi

Joe Biden: China Iko Taabani Kiuchumi

Who is USA ??? Mpaka afundishe watu demokrasia??
Wanachofurahia hawa wapumbavu si kingine bali ni pale wanapoambiwa watalindwa wakifirana na kugawa rasilimali za nchi bure.

Mwangalie rais wa Nigeria, rais wa Ukraine na hivi vishoga vidogovidogo humu jamiiforum vile vimechimbia akili zao makalioni
 
Nia ya Marekani haikuwa kuigeuza China nchi ya kidikteta Bali kuwafanya wazidi kubadilika na kuwa nchi ya kidemokrasia iliyostaarabika.

Amekuja Dikteta xi na tamaa zake amebadilisha uelekeo wote na kuivuruga China yote.

Wachina wengi hawampendi ni vile basi tu hawana cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Usa ambadilishe mchina awe na democracy ya kustaarabika yy mwenyewe ana ustaarabu gn huyo usa mpk ambadilishe mwenzake
 
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.

Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.

Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka

Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.

Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.

Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden

Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.

Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.

My Take
China haiaminiki, siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.

His mental state is worse than gairo

Anahangaika na China

Bladiful
 
Lakin pia nenda kasome pia ripoti ya nusu mwaka ya mwaka huu kuhusu uchumi ya USA na China then njoo hapa useme ,Je!! USA ananafuu ya kumcheka China???

Acha kuongozwa nahisia
Hilo ni kabati la ulimi halitoelewa chochote
 
Dikteta Xi jinpin anawaponza sana watu wa China.

Anawapeleka shimoni kila siku mi nasemaga hapa.

Alileta sera yake ya "return forest to farmland" akihamasisha kilimo kwa kukata miti kila pahala hata mahali pasipofaa matokeo yake juzi beijin na maeneo mbalimbali yamepigwa na mafuriko yaliyotokana na tufani balaa, watu wameripotiwa Kufa cha ajabu CCP haionekani kujali chochote.

Sera za Dikteta Xi zote yaani zote zimegoma na zimekuwa zikiwagharimu watu wachina wasiokuwa na hatia.

Bado sera yake ya "One china" ambayo imelenga kuirudisha Taiwan chini ya utawala wa CCP. Hii sera ndio itaiua kabisa CCP.... yani akijichanganya tu kuivamia Taiwan na CCP ndo inakuwa imekufa. Yaan CCP na Jeshi lake la PLA watapigika kila upande ndani na nje ya China tupo hapa mtakuja kuniambia.

Kuna baadhi ya wachina ni kwa vile hawana silaha lakini ukiwapa silaha wako radhi kupambana na ÇCP na jeshi lake, jambo hili Xi Jinping bado hajalifikiria..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulipoandika dictator putin tuh imeonesha huna unachojua kuhusu siasa za kimataifa.
Baki na ujinga wa west hivo hivo
 
Nia ya Marekani haikuwa kuigeuza China nchi ya kidikteta Bali kuwafanya wazidi kubadilika na kuwa nchi ya kidemokrasia iliyostaarabika.

Amekuja Dikteta xi na tamaa zake amebadilisha uelekeo wote na kuivuruga China yote.

Wachina wengi hawampendi ni vile basi tu hawana cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Toka lini USA akawa anapenda democracy kwa mataifa mengine
 
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.

Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.

Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka

Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.

Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.

Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden

Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.

Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.

My Take
China haiaminiki, siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.

Screenshot_20230812-011625_Chrome.jpg

China ameyumba kweli, na hapo alipo siyo kuwa amejishikilia bali yupo kwenye mporomoko
 
Na hiki kitu kinamvuruga China kabisa, hapendi kabisa na ndio kinachomuumiza Xi Jinping.....

Vijana China wamekata tamaa na hawataki kabisa kufanya maendeleo ikiwemo kuoa kutokana na ugumù wa maisha.

Kuna misemo kibao wanatumia kuhamasishana kama lie flat, full time children n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachuki na china mada zako nyingi ni kuisema chinaa kwa mabayaa inaweza kuwa mchina au muhindi
 
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.

Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.

Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka

Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.

Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.

Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden

Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.

Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.

My Take
China haiaminiki, siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.

China iko taabani ukilinganisha na nchi gani kiuchumi?
 
Umenitafsiri vibaya,

Sina chuki na China wala na wachina, for your information nina marafiki zangu wakichina na tunabadilishanaga mawaza every moment

Ninachokikemea ni CCP au chama cha kikomusti cha China na washirika wake kwa kuwatesa wachina kwa miaka mingi,

Rudia tena kusoma comments zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao CCP kwa sera zao ndio wamefanya China kuwa ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, hawawezi kumfurahisha kila mtu
 
Nia ya Marekani haikuwa kuigeuza China nchi ya kidikteta Bali kuwafanya wazidi kubadilika na kuwa nchi ya kidemokrasia iliyostaarabika.

Amekuja Dikteta xi na tamaa zake amebadilisha uelekeo wote na kuivuruga China yote.

Wachina wengi hawampendi ni vile basi tu hawana cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile huyo mmarekani alivyopeleka hiyo Demokrasia Afghanistan,Libya,Iraq,Syria na sasa wanataka kupeleka hiyo demokrasia Niger?
 
Back
Top Bottom